Ndugai afichua siri ya CHADEMA

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Mkuu, hebu tuache mipasho kwanza... hivi unadhani ni sahihi huu mchakato wa katiba kuendeshwa ki-CCM vs CDM? Maana nadhani hata kwenye bunge la katiba kutakuwa na watu ambao hawawakilishi vyama...
 
we una mtindio wa ubongo wahi kwa profesa matuja kabla hujaharibikiwa zaidi
 
MJIMPYA ardhi ile ile tatizo la viongozi wengi wa Gambaz wanasahau kama kuna kufa na ndio maana wanafanya mambo yao kama funza eti anajenga makazi ya kudumu ktk miguu ya Binadamu kweli??
 
ujinga m2pu

Mi kanishangaza sana, maana sikuwahi kudhani kama bunge la katiba litakuwa na kambi ya upinzani na ya chama tawala...
Ina maana kambi ya upinzani itakuwa inapinga katiba au?!!! By the way, kama ni suala la kupinga au kuunga mkono katiba, CCM kwa sasa ndio wanaipinga rasimu...
 
Uwsh nkupe like bas tu natumia simu.
 
Huyu mleta mada nafikiri amebugi tu,,, ndo maana hajaweka hata chanzo cha habari hiyo.siamini kama ndugai anaweza kutoa kauli hizo.km kutakuwa na vyama kwenye bunge hili je wale wajumbe 166 wasio na vyama watakwenda kambi gani?
 
Huyu mleta mada nafikiri amebugi tu,,, ndo maana hajaweka hata chanzo cha habari hiyo.siamini kama ndugai anaweza kutoa kauli hizo.km kutakuwa na vyama kwenye bunge hili je wale wajumbe 166 wasio na vyama watakwenda kambi gani?

Sure... Maana ukisema kutakuwa na kambi ya upinzani, ina maana itakuwa inapinga rasimu. Hivi hadi sasa nani anapinga rasimu?...
 
Tatizo la siasa za Afrika hasa Tanzania ni hii tabia ya wanasiasa wanaopewa majukumu ya Kitaifa kuendeleza masuala ya Vyama. Kama kweli hii kauli ni ya Spika Ndugai basi imemshusha hadhi sana. Embu aangalie hadhi za MA-spika wenzake kwenye nchi nyingine. Yeye ni mkuu wa mhimili mmoja wapo wa Serikali - Parliament- anapaswa kuwa na kauli za kitaifa zaidi na sio za kishabiki.
 
ukistaajabu ya ndugai ya wasirana lukuvi utayakinai
 
acha upuuuzi huo ,hakuna cha ndugai wala makinda hapa mswaada unarudi bungeni na tarehe 10 ,nguvu ya umma itadhihili nchi nzima.
 
Rudi shule upate elimu hata ya uraia ili ujue maana ya bunge la katiba na mwambie na ndugai mwende naye
 

Unazungumzia mtu ambaye hajui ana watoto wangapi
 

Ndungai angeshauriwa kukaa kimya. Anajiaibisha. Anatakiwa kujiuliza na kuona haya kwa nini bunge linatunga sheria ambayo inawajibika kurekebishwa kabla ya kutumika, chini ya usimamizi wake!
 

Hivi Nduuuuugay ni mchezaji au refa?ama kweli kiti kimeenda ndiko siko, foolish and imbecile argument
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Amiri Jeshi mkuu kawashtukia MaCCMbulula kama wewe mnataka kumdanganya ili mwisho wa siku apelekwe The Hague peke yake au akanyee debe gereza la Kalelankulunkulu - Urambo kwa kosa la kusababisha machafuko yatakayotokana na kusaini mswada wa sheria wa Kichina. Ametumia kanuni yake "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO". Mtakoma kawatosa hajasaini na hawawezi kusaini kasema urudishe Bungoni.

Hayoooooooooo yameona aibu!!!
 
Huyu mleta mada nafikiri amebugi tu,,, ndo maana hajaweka hata chanzo cha habari hiyo.siamini kama ndugai anaweza kutoa kauli hizo.km kutakuwa na vyama kwenye bunge hili je wale wajumbe 166 wasio na vyama watakwenda kambi gani?

Hahaa!
MACCM hawana akili kabisa ndio maana tukitaja Bunge hili kisitumike kuwakilisha wananchi na tuchague upya wajumbe wote wakatiba mAana hili litakuwa lakisiasa.
 
Ndugai kama ana ubavu atume askari kwenda kumtoa JK magogoni kwani ametoa maamuzi ambayo yamekuwa mwiba kwake.
 
Na wale 160 wasio wabunge watakuwa kambi ipi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…