Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Status
Not open for further replies.

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?
 
sasa ukichangia nchi nzima,what does it mean by having wabunge kwenye hayo maeneo? Ukiangalia muda pia hautoshi kuchangia kwa jimbo moja,itawezekanaje nchi nzima? Huyo Chenge alikua anataja tu wala maelezo yake hayakua na mashiko kabisaaaaa,
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

Toka lini Chenge akawa na uchungu na nchi hii?
 
"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

ni Ndugai aliyehamasisha bungeni wiki iliyopita wabunge kuhudhuria misa ya kuwekwa wakfu kwa Mkuu wa kanisa la Anglikani nchini,akaenda mbali kwa kusema askofu huyo mpya ni mpiga kura kutoka Kongwa
 
Msameheeni bure; Ndugai hajui alifanyalo bali anatumiwa kukamilisha mission za mafisadi. Tangu lini mzee wa vijisenti akachangia point katika mjadala wowote ule ?
 
Chezea viroba wewe! Ndugai ameamka nazo kichwani, na pengine zikiisha atalazimika kutolea ufafanuzi
 
Hata mimi nimeshangazwa na kauli yake hii maana sielewi alikuwa anamaanisha nini. Kwani ndani ya bunge hakuna paroko wa kuzungumzia habari za parokia zao. Kama wamo basi atutajie ili tuwajue.
 
Hivi si juzi tu wametoka kupitisha hoja ya kukataza "uchochezi" (ukiwemo wa kidini)? Sasa haya maneno ya Ndugai yamelenga nini?

He proved biasness, bse ametaja tu ya upande mmoja. Je ya "misikiti misikiti" yanaruhusiwa???
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

With all the MPs Ndugai amemuona Chenge ndiyo MP wa kusifiwa, This Dude (Chenge) was supposed to be behind bars kama zingekuwa nchi za wenzetu walio makini au Kule China angekuwa ni chakula ya risasi.

Please Ndugai give us a break huo ushenzi ndiyo unatufanya tuichukie CCM na kukiona Chama cha Mafisadi.
 
ndugai anajipendekeza sana utafikiri anakaribia menstruation period!
 
With all the MPs Ndugai amemuona Chenge ndiyo MP wa kusifiwa, This Dude (Chenge) was supposed to be behind bars kama zingekuwa nchi za wenzetu walio makini au Kule China angekuwa ni chakula ya risasi.

Please Ndugai give us a break huo ushenzi ndiyo unatufanya tuichukie CCM na kukiona Chama cha Mafisadi.
I think thr z a deal btn Ndugai and that dude.
 
Siku Zote Sifa Umwendea asiyestahili hasa hasa kwenye Utawala wa serikali ya CCM, Chini ya Bunge la Makinda & Ndugai.Kama Chenge angekuwa na Uchungu na Nchi hii angekuwa amerudisha Vijiseti na Pia Kuwashawishi Wenzake Walioficha Majiseti nao warudishe tujenge nchi . Shame on your Hon. depute Spiaker, Unashafisha Nyama iliyokwisha unguka Majivuni, just westage of time, Chenge hawezi Safishika.
 
Hizi supika zetu.....WOOFER imeliwa na panya....TWEETER imeliwa na kutu.....sadly hatuna replacement
 
Huyo fisadi chenge alikua anachangia nini kuhusu nchi?maana huku kwetu kijiji cha kahombwa hakuna barabara kabisa..huyo chenge anayajua hayo?huyo ndugai anakula vi.ro.ba na ndo maana haelewi azungumze nini,mahali gani na wakati gani.
 
Ndugai can not think beyond his nose!! I doubt if he knows the impact of such stupid statements. The difference between him and drug abusers is the same.
 
Ndungai mbona amekaa kivijembe vijembe tuu..mwanaume hawi hivi bana..mambo ya parokia yametoka wapi humo bungeni? Kwani walikuwa wanajadili mambo ya wizara ya magufuli au mambo ya parokia? Hata kama he was talking parables katumia mfano mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom