za asubui mabibi ma mabwana,najua wengine mtakuwa hamjaamka.....hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF coz watu wanasema ndoto nyingi zina maana.....sitaki kushushuliwa,nimeona hili swala lina fit hapahapa
hahahahahaha nikiandika hiyo ndoto si ndio ntapata tafsiri za kweli na uongo hadi kichwa kiniume,huyu yakha ajitokeze aseme mi hapa,na watu wamthibitishe,apate kama referee 3 hivi