Mkuu ndoto hutokea sehemu tatu,...kwa Mungu unayemuamini, kwa shetani na mwisho ni ubongo wako(mawazo yako).
Kwa shetani na Mungu wako tupaache maana hatujui ndoto yako imetokea wapi, ila angalia wewe binafsi hauko na negative thoughts juu ya mpnz wako???
Kama uko na mawazo hasi ya kukusaliti basi utaota tu anakusaliti maana ubongo hukuletea katika picha kabisa yale uliyoyaingiza kichwani wakat umelala, kwa ushahidi ni ukiangalia movies za kutisha unawezajikuta unaota tena ukiwa umelala.
Hivyo Ondoa negative thoughts juu ya mwenzio uone itakuaje!