Bora hata wewe mkuu, mie nilikuwa naskia mke wangu live anaota analiwa uroda na jamaa halafu anamwambia mume wangu akijua itakuwa shida sana. Hizi ndoto za kuweweseka hatari sana mkuu. Nilipatwa na hasira kali sana na baada ya kufuatilia tu ilikuwa kweli na tangia hapo siko naye tena mpaka leo. Siji kuoa tena labda nikifikisha miaka 50 nioe mzee mwenzangu.
Inawezekana kuwa kweli ila cha msingi usikurupuke ni kufanya uchunguzi wa kinaDu pole sana inamaana huwa kweli au?
Mfano una wivu, hata wazo lolote baya hafu unaota mara kwa mara, hapo je?,,KIUKWEL NDOTO ZIKIZIDI NZURI AU MBAYA YATUPASA KUZIFANYIA UTAFITI.
Habari za Jumatano marafiki,
Mi nina swali tu nahitaji kusikia mawazo tofauti tofauti toka kwa wadau. Ndoto ni kitu cha kawaida tu japo inasemekana nyingine hutokea kweli.
Sasa nauliza unapo ota mara kwa mara kuwa mpenzi wako anakusaliti, tena kwa kumfumania kabisa ktk ndoto hii inakaaje? unaweza kujikuta ndani ya mwezi umeota mara 3 au hadi 4.
Hili ni swali tu halimgusi mleta mada wala mtu yoyote yule.
Karibuni kwa maoni
Ila hii kitu inachanganya kidogo kuna mstari kwenye biblia unasema "Wazee wataota ndoto na vijana wataona maono" something need to be clear..ndoto ni maono....sema uwa hatufwatilii na wala hatutilii maanani sana.....ukisoma kwenye biblia Farao aliota ndoto na Yusufu alistafiri ndoto.....na mwishoni yalitokea hayo yote.....saa nyingine tunapewa maono kupitia ndoto.....
kwahiyo hayo ni maono.....ni ya kuyafanyia kazi.
Ila hii kitu inachanganya kidogo kuna mstari kwenye biblia unasema "Wazee wataota ndoto na vijana wataona maono" something need to be clear..
Ila hii kitu inachanganya kidogo kuna mstari kwenye biblia unasema "Wazee wataota ndoto na vijana wataona maono" something need to be clear..
Si sahihi kusema kuwa halimgusi mtu yeyote yule, kitu kisichomgusa yeyote yule tafsiri yake ni kwamba hakipo, ndoto za namna hiyo lazima ziwe na chanzo(MTU) ambaye imemtokea kama hakuna inakuwa ni kitu cha kufikirika na kutaka kugeuza fikra kuwa uhalisia
Kuna wanadamu hasa wanawake wamepewa uwezo mkubwa wa kuota ndoto zenye ukweli.... Mfano mke wangu hata nikimtongoza mwanamke nje asubuhi anatoa ndoto inayoonyesha hayo mazingira japo najitaidi kubisha ila moyoni najua mchezo...Na ndoto zake zimenifanya niwe njia kuu hadi leo.... Pia hata matukio ya hatari yanayoelekea kuikumba familia hasa ya kishirikina anayaota japo mengine tunayatambua baada ya kutokea ila mengi tunayanasa na kuomba huruma ya mungu. Cha kufannya kwa mwotaji ni bora kumwambia mhusika ila kwa kumweleza uhalisia kwamba nimeota ili nafsi imsute na aache njia hizo.Habari za Jumatano marafiki,