ndoto za mashiringi zinanitesa

ndoto za mashiringi zinanitesa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,824
Reaction score
3,089
kila siku wiki ya tatu sasa naota ndoto nimekusanya mashiring ya mia mbili mia na hamsini kwenye viroba kisha nikiwa kwenye hatua za mwisho za kubeba hua nastuka gafla hua nakasirika sana naweza kua eneo kama biafra au mnazi mmoja kwenye mnara na roba la mashiring nililolibeba mara gafla kabla ya kupanda gari nazinduka usingizini msaada jamani hi hali inanitesa
 
Mm ndo shekhe Yahaya niliebaki ,kijana appoh umaskini unakunyemelea,solution yake tafuta demu anae jua kuchuna sana ukae nae ili nyota yke iku boost

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa usikasirike, omba Mungu uote wekundu wa msimbazi. Afu punguza muda wa kulala kwa kufanya kazi kwa bidii.
 
kila siku wiki ya tatu sasa naota ndoto nimekusanya mashiring ya mia mbili mia na hamsini kwenye viroba kisha nikiwa kwenye hatua za mwisho za kubeba hua nastuka gafla hua nakasirika sana naweza kua eneo kama biafra au mnazi mmoja kwenye mnara na roba la mashiring nililolibeba mara gafla kabla ya kupanda gari nazinduka usingizini msaada jamani hi hali inanitesa

hakuna haja ya kuogopa wewe omba Mungu akusaidie pia jitahidi kusoma neno la Mungu itakusaidia ikiwa siyo ya heri yataita lakini ikiwa ni kheri ni kumuomba Mungu itimie!
 
Mm ndo shekhe Yahaya niliebaki ,kijana appoh umaskini unakunyemelea,solution yake tafuta demu anae jua kuchuna sana ukae nae ili nyota yke iku boost

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

shekhe yahaya ulobakia lini ataanza kuokota manot ......

mtu wa kumchuna nipo hapa
 
roho ya umaskini inakuandama fanya maombi saaaana bila hivyo hutafanikiwa shetani ana mbinu nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom