Baba Kenzo
JF-Expert Member
- Sep 16, 2017
- 224
- 150
Umeintendea haki akili yako na ufahamu wako,, na kwa uzii huu watapita kimyaaa
Soma Uzi upya mkuu..Ni kweli ndoto zao in harusi maana wao wamezaliwa kwaajili ya kuzaa watoto
It mean , wanaoishi bila harusi wana long survival kuliko waliopitia tukio la harusiNa ndio maana ndoa zinavunjika sana kwa sababu akili zao zinaishia kwenye vazi jeupe na suti ya bwana harusi, ukitongoza tu binti siku hizi unaanza kuitwa mume wangu inaniboa sana hiyo tabia.
Kuna ndoa ilidumu miezi 3 jamaa kasema cwez kuishi na mwanamke km wewe n zaid ya mnyamaWengi wetu tunapenda show off na kwa utafiti katika jamii niliyopo tunapenda sana sherehe ndo maana ndoa za kileo zimejaa malumbano yasiyoisha
Na kwa akili hizo ndo yaleee harusi leo baada ya mwaka wameachana
Wengi waliobariki ndoa naona kama wanayaishi maisha halisi ya ndoa
Inasikitisha kwakweliKuna ndoa ilidumu miezi 3 jamaa kasema cwez kuishi na mwanamke km wewe n zaid ya mnyama