Ndoto za kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto za kisiasa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Afrika Furaha, Jan 10, 2011.

 1. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si nikaota bana usiku!? Eti niko miongoni mwa waalikwa katika birthday ya Mandela...wakati nawa-hug marais tofauti, ikafika zamu ya ''rais'' wenu , kudadadadek eti nikampa bonge la ngumi ya uso puani na nyingine ya chembe akazima palepale! ...hadi ndoto inaisha jamaa bado kazima!
  Ndoto nyingine bana!?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa shehe Yahya akakutabirie........................huenda ikatokea kweli ukawa matatizoni!!!!
   
 3. z

  zayat JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais wetu alikua bila walinda mwili (body guard)?
   
 4. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nipate matatizo mangapi??? Watu tuna matatizo mpaka matatizo mengine yanakimbia yenyewe
   
 5. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kujua walinda mwili sio malaika, basi jikumbushie Bush alivyokoswa na kiatu.
   
Loading...