Ndoto za Kipanya Hizi..........Tuwachore....... ........

Ndoto za Kipanya Hizi..........Tuwachore....... ........

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
kp08122014.jpg
 
Dreams can come true,...! Yes we can lakini si chini ya utawala wa chama chawala
 
Mwaka 2014 Prof JK wakat akiongea na vijana wa UVCCM pale sabasaba alisema kwamba.Miaka 100 ijayo Tanzania itakua nchi iliyoendelea zaidi ya zile ziliZoendelea
 
Haiwezekani hata mbingu zishuke.
 
Nadhani hapa atakuwa anamaanisha kwa nchi yetu viongozi huwa wanazungumza tu kuhusu vitu technical kwa kujiani bila kuangalia uwezekano wahicho kitu kufanyiaka
 
inawezekana just mabadiriko kwa mfumo...tunahitaji muona wa unyerere tu
 
Hiyo sijui niseme ndoto za abunuasi au miaka 2000 ijayo baada ya JK
 
Uzuri wa ndoto hakuna kinachoshindikana shughuli ipo kwenye uhalisia
 
Back
Top Bottom