Nasubiria mbona ujasema ukaniahidi kunipa nyumba ? Lala tena basi uote mapesa pesa mengi
Kweli dada yangu, mwambie na akuelewe kwamba kabla hajaota kukuchojoa viwalo ilipaswa aanze na kukupa mahela mengi kwani profession yetu siyo mapenzi ni hela.
Hizi za ndoto sijui, maana wanasema masikini ndio mabingwa wa kuliwazwa na ndoto... mara ooooh nimeota nipo mitaa ya Texas na akina R. kelly or nimeota naliwazwa na binti wa kiabeshi.. ili mradi nao wasitengwe na wenye uwezo wa kufanya.Nahisi kalalavakiamka atakuja na mapesa mengi hapo nafanya kweli kabisa nitaenda
Hizi za ndoto sijui, maana wanasema masikini ndio mabingwa wa kuliwazwa na ndoto... mara ooooh nimeota nipo mitaa ya Texas na akina R. kelly or nimeota naliwazwa na binti wa kiabeshi.. ili mradi nao wasitengwe na wenye uwezo wa kufanya.
Kwenye ndoto yako hukupokea text sms kutoka kwa mtu aitwaye Freeland
akikuonya uache huo unyambis wako?
Wewe huoni hii ni abuse!Samcezar usijal i will be their all the time
Wewe huoni hii ni abuse!
Unge mp mkatongozana huko sio kutuletea hapa utumbo wako
Mmmmmmmhmn ushapanic brother.........but wivu unajua sio mzuri.......halafu romantic story ya mwenzio waita utumbo na wakati hili sio jukwaa la siasa au katiba ila ni la mahaba na mapenzi.........mmmmmmmhmn huo ni wivu sasa nishakuona brother.........!
Hapana sio wivu. basi ngoja nimwite miss chaga aje
Inatesa kusoma...too much details to the point of irritation.
Afu hii ni ndoto au hallucination, tena under strong influence of a foreign substance.....