Ndoto yangu ni kuajiriwa na CRDB

kamandamchovu

Member
Feb 5, 2017
19
10
Kwa sasa ukiji ajiri kuna uwezekano mkubwa sana wa kufanikiwa kwa mda mfupi.
LAZIMA NIJIAJIRI kwasababu na uchu wa mafanikio.....lakini kusoma kwangu mpaka chuoo nilikua na ndoto ya kufanya kazi katika bank ya CRDB...NDIO MAANA nikaenda IFM kusoma banking and finance baada ya kufauru vizur form six...nilibahatika kufanya field katika branch moja...
Kwa sasa ni muda tu tangu nipeleke aplication letter lakin hawajawahi niita...ROHO INANIUMA SANA sababu ndo ilkua ndoto yangu .

Naamini wapo wakurugenzi wa pale....naomba mnisaidie kukamilisha ndoto yangu(NITAFURAHI MAISHA YANGU YOTE)

Baada ya hapo naweza nikawa happy hata kujiajiri pia ntajiajiri

[HASHTAG]#SAIDIA[/HASHTAG] KUFANYA NIISHI KWENYE NDOTO ZANGU##
 
Kwanza wananangalia GPA 3.5 kwa new comers also wametangaza nafasi za ajira?au wewe umepeleka barua tu?
 
Nina mashaka sana na unachoamini
Kwa mtizamo wako unasema ukijiajiri kuna uwezekano mkubwa sana wa kufanikiwa kwa muda mfupi..
Tambua kabisa hakuna mafanikio ya muda mfupi hamna kabisa kabisa
 
Kutimiza ndoto yako bila kukizi haja zetu.... ni sawa na kuimarisha udhaifu... kwa kuudhoofisha uimara.....

Work hard... life span ya hii bank... bado saana .. utarud hapa coming years km teller.....
Usivunjike moyo.

Karibu.
 
Chukulia mfano bank imefilisika na kufungwa kabisa ina maana hautae ndeleaa kutafuta kazi mwingine?
Mm mwenyewe kuna kampuni nilikuwa nafanya nayo kazi nikaapa sito apply tRNA kazi mahala pengine bali nikitoka pale nitajiajiri mwenyewe......kweli sikuwahi kuapply kazi yeyote nikiwa nafanya nao kazi......weee!.... Dude LA magufuri likaikumba kampuni hatimaye kampuni inaenda kufa....watu tukapewa tubarua mdogo mdogo kwamba tuanze kuangalia shughuri zingine....na tupo huku tunaangalia ahughuri zingine...usijipe matumaini makubwa hivyo!!!!!!!!
 
Kwanza wananangalia GPA 3.5 kwa new comers also wametangaza nafasi za ajira?au wewe umepeleka barua tu?
Nimepeleka tu barua....sijawahi sikia wanatangaza ajira.....hata online website yako kwa upande wa online application kila siku iko in maintanance....i know about GPA
 
Nina mashaka sana na unachoamini
Kwa mtizamo wako unasema ukijiajiri kuna uwezekano mkubwa sana wa kufanikiwa kwa muda mfupi..
Tambua kabisa hakuna mafanikio ya muda mfupi hamna kabisa kabisa
Ni kweli ...ila utategemeana sana sana na unacho fanya...kama ni cha mtaji mkubwa na unauwezo kwa kutengeneza profit ya kutosha per day after excluding all cost...unqfanikiwa mapema sana.....kufanya kaz crdb....i was dreaming for long time!! Nisha maliza kila kitu nilichokua napaswa kufanya lakini nashindwa kukamilisha ndoto....thats way nahitaj msaada
 
Chukulia mfano bank imefilisika na kufungwa kabisa ina maana hautae ndeleaa kutafuta kazi mwingine?
Moyo utaridhika sababu bank is not exist any more...kinaniuma coz the bank i was dreaming is still there na kuna watu wanaishi ndoto yangu(employees and all staff)
 
Kutimiza ndoto yako bila kukizi haja zetu.... ni sawa na kuimarisha udhaifu... kwa kuudhoofisha uimara.....

Work hard... life span ya hii bank... bado saana .. utarud hapa coming years km teller.....
Usivunjike moyo.

Karibu.
Najua bank ina goals,mission and vission na inahitaji watu wakufanya kaz kwa moyo wote for archievement!! Am here,am ready...na iwill work to make sure my dream bank go far and extra mile to deliver
 
Hongera kwa kutaka kufanya kazi ya ndoto zako,,,na tishert yako imeandikwa CRBD bank,,,

Ila bado nafas unayo,Ila unaonekana ukipata kazi pale hats kwa mshahara mdogo utafanya cz ni sehem unayopenda,,,Ila unaweza kufanya party time popote kupata uzoefu zaid kulko kukaa tuu ndugu...

Hapa ndio napoamini ule usemi wa Elimu ya darasani inakufundisha uwajibikaji tu BA's haina kazi nyingine.... Jifunze kutafuta elimu ya msingi utafanikiwa mapema
 
Kwa sasa ukiji ajiri kuna uwezekano mkubwa sana wa kufanikiwa kwa mda mfupi.
LAZIMA NIJIAJIRI kwasababu na uchu wa mafanikio.....lakini kusoma kwangu mpaka chuoo nilikua na ndoto ya kufanya kazi katika bank ya CRDB...NDIO MAANA nikaenda IFM kusoma banking and finance baada ya kufauru vizur form six...nilibahatika kufanya field katika branch moja...
Kwa sasa ni muda tu tangu nipeleke aplication letter lakin hawajawahi niita...ROHO INANIUMA SANA sababu ndo ilkua ndoto yangu .

Naamini wapo wakurugenzi wa pale....naomba mnisaidie kukamilisha ndoto yangu(NITAFURAHI MAISHA YANGU YOTE)

Baada ya hapo naweza nikawa happy hata kujiajiri pia ntajiajiri

[HASHTAG]#SAIDIA[/HASHTAG] KUFANYA NIISHI KWENYE NDOTO ZANGU##
Ila kama umetoka mkoa wake CEO itakuwa rahisi
 
Kwanza wananangalia GPA 3.5 kwa new comers also wametangaza nafasi za ajira?au wewe umepeleka barua tu?
Katika bank iliyojaza viraza crdb no moja, hawangalii hilo wanaangalia wewe ni mchaga??kama ni binti una mvuto na sio mchoyo kwa mabosi, kama mtu baki unafahamiana na mkurugenzi gani pale makao makuu au meneja gani mkongwe....
 
Ushauri kibao wakati majibu yapo huku hapa umemaliza bank ya kina manka
 
Hongera kwa kutaka kufanya kazi ya ndoto zako,,,na tishert yako imeandikwa CRBD bank,,,

Ila bado nafas unayo,Ila unaonekana ukipata kazi pale hats kwa mshahara mdogo utafanya cz ni sehem unayopenda,,,Ila unaweza kufanya party time popote kupata uzoefu zaid kulko kukaa tuu ndugu...

Hapa ndio napoamini ule usemi wa Elimu ya darasani inakufundisha uwajibikaji tu BA's haina kazi nyingine.... Jifunze kutafuta elimu ya msingi utafanikiwa mapema
Nashukuru sana ndugu....ila usiamini hicho unacho amini coz hujui nafanya nn saiz...sja kaa tuu kusubilia kuajiliwa...am doing my own staffs for my life....kwasababu napenda ku work na crdb ndio maana nime express my feeling...ss
Katika bank iliyojaza viraza crdb no moja, hawangalii hilo wanaangalia wewe ni mchaga??kama ni binti una mvuto na sio mchoyo kwa mabosi, kama mtu baki unafahamiana na mkurugenzi gani pale makao makuu au meneja gani mkongwe....
daah...mbona mambo magumu ivooo
 
Back
Top Bottom