mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,040
Ukiona windwa kwa wameanza kusema hadharani kuhusu kushindwa kwa ukraine (si kushindwa kwa NATO) ujue maji yamezidi unga!! Kinachotafuitwa ni namna ya kujitoa huku mbuzi wa kafara akitafutwa!!Mipango yao wanaijia wao.
Kwenye vikao vyao vya siri wanajua wanachofanya.
kwan nan alianza mvamia mwenzie? mbona mnaoesha upeo mdgSasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake!! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa!! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano ya amani n a Urusi kesharuka kimanga tayari na kusema hahusiki!!
Marekani hawezi pigana Vita na Burundi tena full scale War akashinda ndani ya wiki. Labda atumie weapons of mass destruction mfano Nuklia, biological and chemical weapons.Ungesema ndoto ya putin kuichukua ukraine ndani ya siku 3 inenda mwaka wa3
Kwani anae anza kuvamia ndio hua mgovi siku zote?kwan nan alianza mvamia mwenzie? mbona mnaoesha upeo mdg
Na ile ndoto ya kuishinda Russia ndani ya siku mbili ya western imeishia wapiUngesema ndoto ya putin kuichukua ukraine ndani ya siku 3 inenda mwaka wa3
Namie ntamuongezea hapo 20000 nyengine ya gbMarekani hawezi pigana Vita na Burundi tena full scale War akashinda ndani ya wiki. Labda atumie weapons of mass destruction mfano Nuklia, biological and chemical weapons.
Sasa Urusi atawezaje kuipiga Ukraine ambayo ni ya 16, kwa nguvu za Kijeshi Duniani?
Nadhani huo Muda walitoa Warusi wa Dar, Wala sio Viongozi wa Kijeshi wala kiaiasa wa Urusi.
Au ni ww mwenyewe umetunga. Tafuta clip ya tamko Hilo liweke hapa. Nakutumia 20,000/= ya Gb.
Marekani ilitwanga na kuitwaa iraq ndani ya wiki ulikua bado mdogo unanyonya. Putin bada kuivamia ukraine kesho yake akasema ajisalimishe au akimbie we mrusi wa yombo relini unabisha niniMarekani hawezi pigana Vita na Burundi tena full scale War akashinda ndani ya wiki. Labda atumie weapons of mass destruction mfano Nuklia, biological and chemical weapons.
Sasa Urusi atawezaje kuipiga Ukraine ambayo ni ya 16, kwa nguvu za Kijeshi Duniani?
Nadhani huo Muda walitoa Warusi wa Dar, Wala sio Viongozi wa Kijeshi wala kiaiasa wa Urusi.
Au ni ww mwenyewe umetunga. Tafuta clip ya tamko Hilo liweke hapa. Nakutumia 20,000/= ya Gb.
Marekani ipi iloivamia iraq leta ushahidi hapa tuuone halaf hakuna week ilochukuliwa kuipiga iraq kama una ushahidi pia uleteMarekani ilitwanga na kuitwaa iraq ndani ya wiki ulikua bado mdogo unanyonya. Putin bada kuivamia ukraine kesho yake akasema ajisalimishe au akimbie we mrusi wa yombo relini unabisha nini
kwann uvamie wkt sehem za usuluhish zipoKwani anae anza kuvamia ndio hua mgovi siku zote?
baada ya hili zelensky anatakiwa awe pamoja na putin US na UK watampoteza vibaya,asiwafate wale wapo kwenye kutafuta ugali zaidi...Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake!! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa!! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano ya amani n a Urusi kesharuka kimanga tayari na kusema hahusiki!!
Unadhani kama usuluhishi ungekua unafanikiwa mara zote ungekua unaona vitakwann uvamie wkt sehem za usuluhish zipo
Wapi na lini putin alisema anataka kuichukua Ukraine ndani ya siku tatu,, tuonyeshe link tusome au tupia hata kavideo,, hizi propaganda na uongo uliozushwa kwenye ile smo,,, ni sawa tu na ile hadithi ya Israel nchi yao haiingii bomu, yani ukipiga bomu linayeyuka kwa vifaa walivyokuwa navyo, vita ya siku sita, etc. na wao ndo Taifa la mungu ila mie na wewe sijui taifa la nani..Ungesema ndoto ya putin kuichukua ukraine ndani ya siku 3 inenda mwaka wa3
Na wewe kama hujui kitu kaa kimya siyo kujiaibisha tu hapaMarekani ilitwanga na kuitwaa iraq ndani ya wiki ulikua bado mdogo unanyonya. Putin bada kuivamia ukraine kesho yake akasema ajisalimishe au akimbie we mrusi wa yombo relini unabisha nini
Nahuo ndio ukweli, nyingine ni propaganda tu.Mipango yao wanaijia wao.
Kwenye vikao vyao vya siri wanajua wanachofanya.