joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 19,401 Reaction score 41,524 Jul 19, 2026 #21 Amehlo said: mi sio mambo yangu 😀😀au na mi wakiume Click to expand... Nyie wanawake, yaani yale mawazo ya shela jeupe yanawavuruga.
Amehlo said: mi sio mambo yangu 😀😀au na mi wakiume Click to expand... Nyie wanawake, yaani yale mawazo ya shela jeupe yanawavuruga.
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 12,820 Reaction score 24,156 Jul 19, 2026 #22 DIVISHENI FOO said: Ndo shida ya makurumbembe ya humu. Wote ni introverts na wana ndinga kali. Heri yangu mimi ni TALL, DARK and HANDSOME. Cc: Mbaga Jr Binti wa zamani Click to expand... Mbamizwa katumeni
DIVISHENI FOO said: Ndo shida ya makurumbembe ya humu. Wote ni introverts na wana ndinga kali. Heri yangu mimi ni TALL, DARK and HANDSOME. Cc: Mbaga Jr Binti wa zamani Click to expand... Mbamizwa katumeni
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,815 Reaction score 33,486 Jul 19, 2026 #23 Tupeni mchanganuo watu wasizidi 10. 1.Baba & Mama wa pande zote-4 2.wasimamizi-2 3. ndugu wa bwn & bi harusi-2 3.Marafiki wa bwn & bi harusi-2.
Tupeni mchanganuo watu wasizidi 10. 1.Baba & Mama wa pande zote-4 2.wasimamizi-2 3. ndugu wa bwn & bi harusi-2 3.Marafiki wa bwn & bi harusi-2.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,917 Reaction score 31,770 Jul 20, 2026 #24 joseph1989 said: Nyie wanawake, yaani yale mawazo ya shela jeupe yanawavuruga. Click to expand... mi honeymoon ndo itanivuruga🤣🤣
joseph1989 said: Nyie wanawake, yaani yale mawazo ya shela jeupe yanawavuruga. Click to expand... mi honeymoon ndo itanivuruga🤣🤣
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,110 Reaction score 9,357 Jul 20, 2026 #25 joseph1989 said: Nyie wanawake, yaani yale mawazo ya shela jeupe yanawavuruga. Click to expand... Hivi asie bikra inaruhusiwa avae shela jeupe?
joseph1989 said: Nyie wanawake, yaani yale mawazo ya shela jeupe yanawavuruga. Click to expand... Hivi asie bikra inaruhusiwa avae shela jeupe?
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 19,401 Reaction score 41,524 Jul 20, 2026 #26 Mnachihanguuu said: Hivi asie bikra inaruhusiwa avae shela jeupe? Click to expand... Zamani rangi nyeupe ilikuwa inawasilisha, kwamba bado hajaingiliwa/mwana mwali. Siku tunavaa tuu ila hairepresent purity ya binti, ila zamani shela lilikuwa Kina represents purity kwa mwanamke.
Mnachihanguuu said: Hivi asie bikra inaruhusiwa avae shela jeupe? Click to expand... Zamani rangi nyeupe ilikuwa inawasilisha, kwamba bado hajaingiliwa/mwana mwali. Siku tunavaa tuu ila hairepresent purity ya binti, ila zamani shela lilikuwa Kina represents purity kwa mwanamke.
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,518 Reaction score 4,955 Jul 20, 2026 #27 Ndio Paln yangu hiki kitu waga kinaniwazisha sana basi tu sipendi Mkusanyiko wa wengi hasa hizo sherehe
Ndio Paln yangu hiki kitu waga kinaniwazisha sana basi tu sipendi Mkusanyiko wa wengi hasa hizo sherehe
Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 1,752 Reaction score 3,149 Jul 21, 2026 #28 iko poa sana hiyo, mimi bora hata ndoa ifungwe jf, Padre anaanzisha uzi halafu mimi na mke wangu tunareply inaisha hiyo
iko poa sana hiyo, mimi bora hata ndoa ifungwe jf, Padre anaanzisha uzi halafu mimi na mke wangu tunareply inaisha hiyo