Ndoto ya harusi ya kila introvert,

Labda kama Introvert wa kiume, ila wa kike hata awe Introvert vipi atataka sherehe, plus wazee wako ndio kabisa. Mimi na wakubaligi maostaz yaani hawana mambo mengi hata mpiga picha haitwi, anaitwa shekhe kijana wake mmoja wakumshikia vitabu anamaliza, watu hata hamjui baada ya siku tatu mnasikia fulani kaoa na unaweza ukakuta kijiweni mlikuwa mnakaa nae.
 
Hata kanisani ipo hio, Magufuli alifunga style hio, walienda kanisani yeye na mke wake wakamaliza halafu usiku akaendelea na kitabu
 
hao ni wengi badoπŸ˜€πŸ˜€me niende na ba mtu tufunge ndoa twende honeymoon yaishe
Fasta tu yani, ilikuwa kanisani, msikitini, mahakamani (bomani) au ?

hawakuwashangaa ?πŸ˜€
 
mi sio mambo yangu πŸ˜€πŸ˜€au na mi wakiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…