Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili

Mi nimechoka kuota ndoto za shule kuanzia ya msingi, secondary na chuo pia naota mara nyingi nafanya mitihani mara nimefauli mara nifeli nifanyaje nuache kuota hivi ndoto ni mda mrefu sasa nimechoka nazo
Kuna mambo mengi huyafikishi tamati... Hizo ndoto ni reminders
 
Mshana nilishawahi kuota nimepewa kisu nimchome bi mkubwa nikatupa nikakimbia hii inakaaje.

Alafu mara nyingi huwa naota nagegeda japo simalizi nashtuka, hii nayo inahusu masuala ya kiroho au ni kawaida tu??

Na mtu akiota ota sana kuona nyoka ndotoni inakuwaje.
 
Habari wana jukwaa.natumai ni wazima.... Natumai braza msaha pia uko poa.
Juz kat nilipitia Uzi wako unalikua ukizungumzia nguvu ya chumvi ya mawe.Niliuelewa Bas sikusita kwenda sokoni na kitafuta chumvi ya mawe na kufany kama ulichofundisha...ishu uko hapa sasa...
Baada ya kuoga kwa Siku kadhaa nafikir sita hiv..juz nimeota Ndoto kiasilia ilikua kama si ndoto..kwa sababu yayolikua nayaota kwa hali flan ilikua kama kweli.....nilikua nimelala na kulipa mgongo dirisha lkn kuna kipind Nilisikia kuna kitu kinaniambia tazama dirishani ..kwa kweli nilitizama na kuna kitu niliona nilipo jaribu kupiga kelele hazikotoka ilinipata kama haliflan HIV ya kuweweseka..ilijirudia kwa Mara tatu ndni ya dkika zisizozidi 20..kumbe mke wang alikua akinisikia lkn hakuweza kuyatambua maneno nilokua nikiyaongea....msaada wko tafadhali nn hiki mkuu"?
 
Asante endelea na chumvi usiache nitakupa tafsiri nitakapotulia
 
.
e7c52b39d6ae3569ef7312523639f9b4.jpeg

Jr
 
Wafu pekee ndio hawaoti na hawaoti kwakuwa hawana kumbukumbu tena na hawana kumbukumbu tena kwakuwa hawana uhai tena.

Kila binadamu kamili lazima awe na vivuli vitatu kukosa kuwa na vivuli vyote vitatu ni ulemavu wa kiroho sawa tu na kukosa kuota kabisa.

Ndoto za kawaida ni uchambuzi wa matukio ya siku nzima tuliyowaza kunena na kutenda, jana leo na mbeleni.

Ni katika mchakato wa kuchuja matukio ya kuhifadhi kwenye database ya ubongo ndio watu huota wakati huo mwili ukiwa katika dormance state. Ni vitu vinavyotokea bila ridhaa ya mhusika.

Mchakato mwingine wowote ufuatao wa ndoto za aina nyingine zile za wanga, wachawi, maono na taarifa msingi wake ni hizi ndoto asili ni katika mchakato wa huo wa kuchuja na kuchambua matukio ya kuchukua na kuacha ndio binadamu ama niseme kiumbe hai hupata mtimbwiliko uitwao ndoto.

Ni katika mnyambulisho huo wa matukio kunakuwa na matukio ya uhifadhi wa muda mfupi, muda wa kati na muda wa kudumu.

Matukio ya uhifadhi wa muda mfupi huishia katika mlango wa tano wa fahamu sawa na ndoto zake. Matukio ya muda wa kati huishia katika mlango wa sita sawa na ndoto zake. Angalia kuna ndoto za mwaka jana unaweza kuzikumbuka vizuri sana tofauti na ndoto za wiki iliyopita.

Vile vile na matukio ya kudumu huhifadhiwa kwenye mlango wa nane wa fahamu yakiwa yamechujwa hasa kwenye mlango wa saba na kuchambuliwa kwenye mlango wa sita matukio haya na ndoto zake huwa ni ya kudumu bila kujali umri wake.

Je ni kwanini kuna mchujo mkali kiasi hiki?

Chukulia database ya inavyowekewa ulinzi ili isiathiriwe na kirusi chochote.Basi hivyo ndivyo hali ilivyo kwenye software ya database ya ubongo.

Ubongo wako ndio data center, database ya kumbukumbu zako zote. Ukidisturb hiyo umekwisha.Vichaa na mwendawazimu huchezewa hapa, pakiguswa hapa ama pakiwa over loaded kuchanganyikiwa ni lazima.

Kwa ufahamu usiojua ni kwamba ndoto ndio maabara ya kupima kuchuja, kuchambua kuweka katika makundi husika aina za kumbukumbu za kutunzwa na ubongo. Asiyeota hana kumbukumbu na tafsiri yake ni moja tuu maabara yake haifanyi kazi.
Mkuu,Aug 2017 niliota mtu wng wakaribu sana Amekufa.ilipofika 6 Nov 2017 kweli akafa...Hii Mkuu iko vipi?
 
mshana
Mara nyingi huwa naota ndoto maeneo nitakayotembelea siku za usoni ,hasa ambayo sio mazuri Kwangu Au ntakayoshindwa.. Naweza ota Nimeenda eneo Fulani La dar es salam na nkiamka nkakumbuka kuwa Nimeenda sehemu Fulani na jambo Fulani linatokea.. Na maeneo Hayo nakuwa sina issue Au sifahamiana na mtu... Inaweza pita hata Miezi nikaitwa Au nkajikuta Nimeenda kwa jambo Fulani.. Hii ina maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho yako hukutangulia kuona na kukupa taarifa.. Ni kama maono fulani.. Ukiweza kujiendeleza na meditation utakuwa na nguvu sana kiroho

Jr
 
Back
Top Bottom