Ndoto nyingine bana!

*Ndoto zingine aki ni mbaya.. Niliota nikidrive ma new Mercedes Benz alafu ikakwama kwa matope... Ikabidi niisikume.. Kuamka nipo na kitanda jikoni*

Ndoto ni muhimu sana katika ulimwengu wa roho. Tunapokuwa tumelala, miili yetu ndo inalala lakini roho zetu hazilali. Hivyo kunakuwa na mambo mengi ambayo yanakuwa yanatendeka katika ulimwengu wa roho.
Kuna ndoto za kutoka kwa Mungu (Matendo 2:17), ndoto za kutoka kwa shetani (Ayubu 7:14—15), na pia kuna ndoto ambazo ni matokeo ya shughuli nyingi. “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi” (Mhubiri 5:3).
 
Hii ya kusukuma kitanda ni ya kiroho kweli hiii!?Usidanganywe ule ulikuwa mtego ole wako ungesema unyonye mafuta!
 
Back
Top Bottom