Ndoto na mtoto wa mkulu

Ndoto na mtoto wa mkulu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Wajuvi wa ndoto naomba mje mtie neno hapa ili kijana wenu nipate haueni kidogo isije ikawa ndio mikosi hii ,

Jana wakati wa usiku nimeota namkula mtoto flani hivi wa mkulu J , sikumbuki ilikuwa kuwaje mpaka kufikia hatua hiyo lakini ninachokumbuka ni ule tu wakati tuko kitandani tunafanya yetu,

Alikuwa mtamu kwa kweli uno feni kila pigo nililompa alikuwa anafurahi na kuinjoi cha kushangaza sasa wakati mchezo umekolea mie nataka kutoa wazungu alibinuka flani hivi na kuchomoa kitendea kazi changu hapo hapo nikashituka ,

Sasa sijui nini maana ya ndoto ile , kwa nini wakati nataka kuscore yeye ndio anifanyie ukatili wa kuchomoa kitendea kazi changu?

Bado niko nawaza sana.

Nb:
Msije mkasema nina usongo sijapiga game kitambo ndio maana nimeota,hapana nimetoka kupiga game jumapili juzi nimeshinda jana tu usiku wake wa kuamkia leo ndio nimeota hivyo.
 
Sio utani Kama maelezo yako ni kweli Basi una pepo baya Sana... Jitahidi uliondoe... Kuliacha ni kuendelea kupata tabu na mikosi
 
Umesoma? Baba mkwe hapendi wakwe vilaza, uwe angalau na PhD hata kama haina machapisho.
Nina PHD ya kusukuma mkokoteni vipi hapo bado sina sifa mkuu,machapisho yangu yapo soko kuu pale.
 
Sio utani Kama maelezo yako ni kweli Basi una pepo baya Sana... Jitahidi uliondoe... Kuliacha ni kuendelea kupata tabu na mikosi
Sasa nifanye nini kuliondoa?
 
pepo mchafu huyo katumia sura ya huyo mtoto
sio ajabu ulikuwa unamkula pepo wa kiume we unaona ni binti
Leo nipo serious hilo ni pepo muombe Mungu wako akuepushe nalo.
 
Sawa mkuu yapi madhara yake
 
Wajuvi wa ndoto naomba mje mtie neno hapa ili kijana wenu nipate haueni kidogo isije ikawa ndio mikosi hii ,

Jana wakati wa usiku nimeota namkula mtoto flani hivi wa mkulu J , sikumbuki ilikuwa kuwaje mpaka kufikia hatua hiyo lakini ninachokumbuka ni ule tu wakati tuko kitandani tunafanya yetu,

Alikuwa mtamu kwa kweli uno feni kila pigo nililompa alikuwa anafurahi na kuinjoi cha kushangaza sasa wakati mchezo umekolea mie nataka kutoa wazungu alibinuka flani hivi na kuchomoa kitendea kazi changu hapo hapo nikashituka ,

Sasa sijui nini maana ya ndoto ile , kwa nini wakati nataka kuscore yeye ndio anifanyie ukatili wa kuchomoa kitendea kazi changu?

Bado niko nawaza sana.

Nb:
Msije mkasema nina usongo sijapiga game kitambo ndio maana nimeota,hapana nimetoka kupiga game jumapili juzi nimeshinda jana tu usiku wake wa kuamkia leo ndio nimeota hivyo.
mtaje kwa majina huyo mkulu kama kweli unafanya hip hop...
 
Umeshindia msuba asubuhi mpaka jioni unaingia kulala na ubao(njaa) lazima uote huo upuuzi! Alafu kila siku nakusihi uache uzinzi faza jana nimewaona wazee watatu wamepaukaaa nikagundua ujanani waliabudu uzinzi kama wewe! Kijana fanya kazi ujikwamue na hali ngumu ya kiuchumi lima mboga mboga, majani ya maboga utatoka kijana
 
Mkuu nilishawahi kuja kukuomba ata ugari nyumbani kwako? Achilia ugali tu hela ya kununua bando na simu ninayotumia unajua niliipata wapi? Unajuaje kama sifanyi kazi ilihali sijawahi kuja kukuomba msaada ?

Mind your own business hapa JF kila mtu ana pesa na magari makali ata kama ni kapuku.
 
Mkuu nilishawahi kuja kukuomba ata ugari nyumbani kwako? Achilia ugari tu hela ya kununua bando na simu ninayotumia unajua niliipata wapi? Unajuaje kama sifanyi kazi ilihali sijawahi kuja kukuomba msaada ?

Hahahahaha, daa siyo kwa majibu haya mkuu sidhani kama atarudi tena.
 
Mkuu nilishawahi kuja kukuomba ata ugari nyumbani kwako? Achilia ugari tu hela ya kununua bando na simu ninayotumia unajua niliipata wapi? Unajuaje kama sifanyi kazi ilihali sijawahi kuja kukuomba msaada ?

Mind your own business hapa JF kila mtu ana pesa na magari makali ata kama ni kapuku.
Waka vimba lakini ushauri ufanyie kazi ndugu
 
Uzuri ni kwamba wote tuko JF kama ushauri ata wewe unakufaa ungekuwa unafanya kazi usingeangaika kuwa humu saivi
 
madhara yapo kiroho sana lakinl kubwa ni kuvurugwa kwa ndoa kama umeoa au palf utakapo oa
Mambo haya yamekaa kiimani zaidi kama sio mtu wa imani potezea
Sawa mkuu
 
Mkuu nilishawahi kuja kukuomba ata ugari nyumbani kwako? Achilia ugari tu hela ya kununua bando na simu ninayotumia unajua niliipata wapi? Unajuaje kama sifanyi kazi ilihali sijawahi kuja kukuomba msaada ?

Mind your own business hapa JF kila mtu ana pesa na magari makali ata kama ni kapuku.
sijui huwa mmetokea wapi watu kama nyie....unaandika ugari kweli?
 
Hahaha hahaha msamehe.

Back
Top Bottom