englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Acha kuishi kwa ndoto, ilihali umejibweteka bila sababu yoyote, AMKA kafanye kafanye kazi utimize malengo yako. (MUUNGWANA ni KITENDO)
Kwani ndoto ni nini?
kwa hiyo hata sisi tunaoota kumwoa Madame B tuache kufanya hivo? Au?
kuota unafukuzwa
acha kuiga ndoto yangukwa hiyo hata sisi tunaoota kumwoa Madame B tuache kufanya hivo? Au?
acha kuiga ndoto yangu
kuota unafukuzwa