Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 555
- 1,270
- Thread starter
- #21
How mkuuUnae mtu wa karibu sana anayekwamisha maendeleo yako. Kama upo kwenye mahusiano yachunguze.
How mkuuUnae mtu wa karibu sana anayekwamisha maendeleo yako. Kama upo kwenye mahusiano yachunguze.
Wasi wasi upo. Mara nyingi plan zangu zimekuwa hazikubali, na hii inatokana na most of my personal project kuishia njiani ns zinakufaJe, una wasi wasi wowote kuhusu maisha kwa ujumla?
Labda kuna kitu kikubwa zaidi ya hayo.. Jaribu kutafuta nini inaleta hiyo hofu. Itachukua muda na uvumilivu wa hali ya juu. Ila Nakuhakikishia itakuwa kutoka utotoni kabisa. Nini ulikosa, au nini kilitokea.Wasi wasi upo. Mara nyingi plan zangu zimekuwa hazikubali, na hii inatokana na most of my personal project kuishia njiani ns zinakufa
Sina kumbukumbu yoyote nitajaribu kuuliza kwa mzazi.Labda kuna kitu kikubwa zaidi ya hayo.. Jaribu kutafuta nini inaleta hiyo hofu. Itachukua muda na uvumilivu wa hali ya juu. Ila Nakuhakikishia itakuwa kutoka utotoni kabisa. Nini ulikosa, au nini kilitokea.
Sawa fanya hivyoSina kumbukumbu yoyote nitajaribu kuuliza kwa mzazi.
Ukiwa na awareness unaweza kuikata ndoto au hata kui pause, ukaamka kwenda chooni na ukirudi ukaendelea ulipokua umeishia, inategemea na ukubwa wa ufahamu wako.ndoto (sio zote) huelezea hali yako kiroho. Kuwa darasani ni ishara ya kupata maarifa mapya.
kuna ndoto ambazo ni lucid huwa ni nzuri sana hizi. kwamba unaota na unakuwa unajua kuwa unaota na unakuwa na uwezo wa ku-control events ila huna uwezo wa kuikata, hadi inapokatika yemyewe.
Bahati mbaya au nzuri kwa anaeamini na hata asieamini masuala ya kiroho, bado atapitia tu michakato ya kiroho pale mambo yake yanapokwama.Au unataka tukwambie unalogwa kuna mtu anachezea nyota yako?
Maana waafrica kila kitu lazima mkirelate na wizard
Hili la kupause ndoto nadhani sometimes huwa tunalifanya bila ya kujitambua this week nimepitia situation kama hiiUkiwa na awareness unaweza kuikata ndoto au hata kui pause, ukaamka kwenda chooni na ukirudi ukaendelea ulipokua umeishia, inategemea na ukubwa wa ufahamu wako.
Kurudi darasani sio kupata maarifa mapya bali unarudia kujifunza jambo ambalo unatakiwa uwe umeshajifunza ila hutaki kujifunza na kulivuka.
Maisha ya kila siku ya mwanadamu ni kujifunza kila siku na kutengeneza experience mpya kila siku.
ukiona umerudi darasani jitathmini, ukiendelea kupuuzia ulimwengu utaongea kwa vitendo mfano kupata madhara au changamoto yoyote katika maisha au shughuli za kila siku.
Ukiwa na awareness kubwa unaweza fanya kwa kujua ila bila awareness unafanya kwa kutokujua sababu anaekua ana control ndoto ni your subconcious mind "higher self".Hili la kupause ndoto nadhani sometimes huwa tunalifanya bila ya kujitambua this week nimepitia situation kama hii
sawa lakini fikiria, wewe ni std seven au form four leaver ila unaota uko darasani/lecture room university, unaonaje hapoUkiwa na awareness unaweza kuikata ndoto au hata kui pause, ukaamka kwenda chooni na ukirudi ukaendelea ulipokua umeishia, inategemea na ukubwa wa ufahamu wako.
Kurudi darasani sio kupata maarifa mapya bali unarudia kujifunza jambo ambalo unatakiwa uwe umeshajifunza ila hutaki kujifunza na kulivuka.
Maisha ya kila siku ya mwanadamu ni kujifunza kila siku na kutengeneza experience mpya kila siku.
ukiona umerudi darasani jitathmini, ukiendelea kupuuzia ulimwengu utaongea kwa vitendo mfano kupata madhara au changamoto yoyote katika maisha au shughuli za kila siku.
Ahsante. Naweza kukuchek PM?Sawa fanya hivyo
Pole sana. Hiyo iwahi kunitokea mara nyingi nikawa nachukulia poa kwa sababu sikuwa na uelewa kuhusu ndoto hizi, mara Niko chuo ,o level ,A level na ikafika hatua nikaanza kuota Niko shule ya msingi nimevaa uniform nacheza mochezo na wenzangu tuliokuwa tunasoma wote enzi hizo.Habar za wikiend wanajamvi.
Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.
Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa.
Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto.
Ndoto hii mara zote imekuwa ya kujirudia haijawahi kubadirika.
Nimekuwa nikiota nipo shule na mara nyingi nakuwa kwenye vipindi vya mitihani.
Katika ndoto hii mara nimekuwa nikikutwa sijajiandaa kwa ajili ya kufanya mitihani, muda mwingine hata notice sina, timetable ya mitihani inatoka ndio naanza kupambana kuanza kujiandaa huku nikiwa na masomo mengi ambayo natakiwa kusoma ili nifanye mtihani.
Sijawahi kuota ndoto ya kuonyesha nipo chumba cha mtihani hapana, muda wote nimekuwa nikiota kuwa, ratiba ya paper imetoka hivyo napaswa kusoma na nina vimeo vingi wakati huo muda ukiwa hautoshi.
Hii ndoto nawwza sema imejirudia zaidi ya mara 30 na ndio ndoto inayonisumbua sana.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Kama sio kitu personal sawaAhsante. Naweza kukuchek PM?
Hapo panaweza kuwa ndio kwenye chanzo cha hizo ndoto. Maana ndoto za aina hiyo mara nyingi huwa zinaonyesha hali ya "kuona hujajiandaa", "huwezi kufika hatua/daraja fulani", "kuona haupo mahali sahihi" au "haujui nafasi yako au wapi uliposimamia".Wasi wasi upo. Mara nyingi plan zangu zimekuwa hazikubali, na hii inatokana na most of my personal project kuishia njiani ns zinakufa
Nahitaji uelewa zaid kuhusu hili jambo na sio vinginevyo boss.Kama sio kitu personal sawa
Unajua hata nimesahau, ilikuwa ni issue ya ndoto ama beliefs?Nahitaji uelewa zaid kuhusu hili jambo na sio vinginevyo boss.