Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo nilikuwa nimekunywa sana kiasi cha kufanya ni uchape sana usingizi. Mchumba angu huyo akaniambia usiku wkt nimeuchapa usingizi akasema nilikuwa naota sweet vua basi kifuli na anadai kuwa nilikagua kidogo mewata zake sasa kila akiniangalia nimelala alafu naongea basi akaamua kunipa kibuti pale pale asubuhi lol ndoto zingine bana