GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,582
- 127,929
Hujanielewa Nini Mkuu? Tehehehehehe,wewe Ni Kijana Wa Pwani,uko Dar,na Mimi Ni Kijana Wa Bara Nipo Kahama Kwa Hiyo Huwezi Kulianzisha Na Mimi,kumbuka Mkuu Ulikuja Mbio Humu Umefurushwa Na Vipanya Road Tu,wakati Mimi Ningevikamata Nikavipeleka Shambani Vikalime.
Bado Sijakuelewa Na Nataka Uweke Wazi Upo Tayari Ku Baloteliana Na Ku Suareziana Kama Si Ku Diego Costiana Na Mimi? Eleweka Tulianzishe.