Ndoto hizi ni utata mtupu, Naomba msaada

Ndoto hizi ni utata mtupu, Naomba msaada

Achana na kuumiza kichwa kuhusu hizo ndoto, wewe piga kazi na tumia fursa zinazojitokeza.
 
Hizo zinaitwa manic hallusination, na zinatokana na maisha yako magumu na expectation ulizonazo, usisiamini hata siku moja kama una pikipiki ni sehemu nzr ya kuanzia wakati unazndelea kutafuta kazi..

Unajuaje kama ana hallucination ya maisha? angesema otherwise,halafu c lazima aajiriwe hata akijiajiri inatosha.
 
Unaota ulichokiwaza.

siyo mkweli mkuu,mi niliota namgegeda mke wa mtu wakati sikuwahi hata kumtamani wala kumfikiria,cku kadhaa kupita akaanza kujilengesha nikamgegeda sasa live.
 
Hizo zinaitwa manic hallusination, na zinatokana na maisha yako magumu na expectation ulizonazo, usisiamini hata siku moja kama una pikipiki ni sehemu nzr ya kuanzia wakati unazndelea kutafuta kazi..

mkuu hizo ni fikra zako tu,expectations zangu nyingi wewe huzijui na wala haziwiani na hizi ndoto,halafu mbona unaegemea upande mmoja tu? mbona hutaki kuhoji kwa nini niliota kuhusu pikipiki na ikatokea? na je niliwahi kufikiri kuwa pikipiki yangu ingeshika moto? mbona sikuwa na mawazo hayo na ikatokea? siungi mkono hoja yako mkuu maana haiendani na mazingira yangu na mawazo yangu.
 
Mimi si mtalaam wa kutafsiri ndoto,lakini Nina ushauri kwako,iko hivi,ukiota ndoto yoyote ile unapozinduka tu ongea na Mungu wako! Kama in ndoto mbaya ikemee isije ikatokea,kama in nzuri,omba Mungu akubariki itimie! Usiwe na hasira mkuu,omba tu Mungu kwa imani yatatimia!

well said mkuu!
 
Unaota ulichokiwaza.

sijawahi kuwaza kuwa pikipiki yangu ingeshika moto,lakini ilitokea,sijawahi kuwaza kuonana na rais yoyote na bado naota mara kwa mara kuwa nipo na marais tofauti duniani.
 
Huun ni ugojwa wa akili unaitwa wa a akili grandiosity., unaweza ukaota wewe ni Rais, Tumia anti-psychotic drags eg Hallopuridol ii may help.

mimi si mgonjwa wa akili,nipo timamu kabisa.
 
Ndoto zinakuonesha waweza kufika wapi.Ila hazitoshi kama hauzifanyii kazi yaani huna mkakati wowote wa kuzifikia.Anza na hatua ndogo ndogo za kufika kule unakoota kwa kufanya kazi kwa bidii la sivyo unaweza kufa hujafikia hata ndoto moja maishani

nimekusoma mkuu.
 
hehe, we ndo poyoyo wa mwisho!! muvi imefikaje hapa?

anyways, back to topic...
nadhani mtoa mada unanyemelewa na kaugonjwa ka akili (kama hujawa mgonjwa mpaka sasa).. its as simple as that

aisee,that's why I said beforehand that if you can't contribute wisely you better read and walk away,umenipima ukajua kuwa mimi ni mgonjwa wa akili? kisa tu nimeota kuonana na marais? wakati mwingine hata kukaa kimya huwa ni hekima.
 
ili ndoto iwe na maana lazima uwe normal
sio unaumwa au unakunywa dawa za aina fulani ukaota,..hizo ndoto zinakuwa hazina maana

mkuu sijawahi kutumia dawa zozote za kulevya ktk maisha yangu,nipo very social and normal as well.
 
Hizo Ndoto Zako Zote Zinaonyesha Kuwa Siku Zako Za Kufa Zinakaribia Na Kwamba Utakuwa Masikini Wa Kutupwa Hapa Tanzania.

ahsante kwa kuchangia mkuu,ila mimi naamini sitakuwa maskini na roho ya mauti naikataa kwa jina la Yesu Wa Nazareth.
 
Polesana kijana japo umenichekesha sanaaa lakini jambo kama hili kwamfano nikifahamu umri wako pia huwa ni rahisi kukushauri.
kuna vijarida vingi sana na watu wengi sana wamekuwa wakijiuliza mwaswali kama ya kwako watuwalio bobea katika psychology walitowa majibu yafyuatayo,Ndoto mara nyingi sana hutokana na Mawazo yako ya mchana,Pia usiku kama unaweza kukumbuka umeota saangapi pia kuna muda wa ndoto za matokeo na ndoto za mazingira tuu,na pia wakasema ndoto ni uchovu kwani kunawengine wanaweza kulala na kuanza kuzungumza mambo yamchana kama vili ni mchana.
Sasa basi sio kila ndoto ni ya kupuuzia,mfano unaota wewe umekuwa raisi wa nchifulani wakati unajielewa kabisaa hata darasa lasaba hujamaliza ndio zinakuwa ndoto za abunuasi!!!!!!!!!!

Nadhani umeielewa vizuri topic yangu,ndoto hizi ni repeatedly,na huwa nikiota mambo mengi hutokea,nimetoa mfano wa pikipiki na ikatokea,kutwa nzima nakuwa busy na kazi zangu,so huwa siwazi nayoyaota ok? nachowaza siyo ninachoota umenipata?
 
mkuu hizo ni fikra zako tu,expectations zangu nyingi wewe huzijui na wala haziwiani na hizi ndoto,halafu mbona unaegemea upande mmoja tu? mbona hutaki kuhoji kwa nini niliota kuhusu pikipiki na ikatokea? na je niliwahi kufikiri kuwa pikipiki yangu ingeshika moto? mbona sikuwa na mawazo hayo na ikatokea? siungi mkono hoja yako mkuu maana haiendani na mazingira yangu na mawazo yangu.

usijipe matumaini bure. mbona ulipoota uko na blair au bush isitokee? unaegemea kwenye pkpk tu. ukiota umekufa je? achana na maruweruwe. tumia boda boda hiyo fanya kazi
 
maono, ndoto, mawazo ya kawaida na mawazo ya kina.
yanatofautiana mkuu.
 
Back
Top Bottom