Ndoto hizi ni utata mtupu, Naomba msaada

Ndoto hizi ni utata mtupu, Naomba msaada

hyo hutokana na vle unavyowachukulia kuwa pengne they could help u in one way or another
 
Mungu anakuandaa kua kiongozi mkubwa na mwenye heshima ndani na nje ya nchi, ila endelea kumuomba Mungu akufunulie zaidi ujue pa kuanzia.
 
usijipe matumaini bure. mbona ulipoota uko na blair au bush isitokee? unaegemea kwenye pkpk tu. ukiota umekufa je? achana na maruweruwe. tumia boda boda hiyo fanya kazi

Wewe Hujaelewa Mada,umejikita Kwenye Roho Ya Wivu,umejuaje Kama Pikipiki Inafaa Kuwa Bodaboda,ina Maana Kila Pikipiki Hutumika Kama Bodaboda? Sometimes Naona Kama Wivu Zaidi Unakusumbua,kwa Kawaida Mtu Akiota Kakutana Na Rais Wa Nchi Huyo Mtu Baadae Huja Kuwa Maarufu Na Kuheshimika Sana Na Jamii Inayomzunguka.No Matter How Long Itachukua Kutokea.Halafu Mtoa Mada Hajasema Kuwa Anajipa Matumaini Amekuja Hapa Jamvini Kuomba Translation Ya Ndoto Na Wewe Una Comment Tofauti.
 
Hizo zinaitwa manic hallusination, na zinatokana na maisha yako magumu na expectation ulizonazo, usisiamini hata siku moja kama una pikipiki ni sehemu nzr ya kuanzia wakati unazndelea kutafuta kazi..

Toa Uongo Wako Hapa,tangu Lini Mtu Mwenye Ku Panic Na Maisha Akaota Mambo Mazuri Ya Kuonana Na Marais Wa Nchi? Tena Mara Kibao? Kila Ndoto Ktk Maisha Ya Mwanadamu Huwa Na Maana,hallucinations Inakujaje Hapa Tena? Mtu Kashinda Njaa Na Hana Pesa Leo Aje Kuota Yupo Na Bush Ndani Ya Air Force One? Wapi Na Wapi?
 
Huun ni ugojwa wa akili unaitwa wa a akili grandiosity., unaweza ukaota wewe ni Rais, Tumia anti-psychotic drags eg Hallopuridol ii may help.

Duh! Hii Ndo Jf Bana,kwa Hiyo Mtu Akiota Ndoto Nzuri Tu Na Wakati Maisha Yake Ni Magumu Tayari Ana Matatizo Ya Akili? Vp Kama Angekuwa Anaota Anafukuzwa Na Simba Au Kaiba Simu Anachomwa Moto Ndo Angekuwa Na Akili Nzuri? Napinga Hoja Yako,wabongo Wivuuuuuuu... Unatamani Hiyo Ndoto Ungeota Wewe Usingesema Una Ugonjwa Wa Akili,kwanza Umemtusi Sana Mleta Mada Pumbafu Zako Kabisa.
 
Hizo Ndoto Zako Zote Zinaonyesha Kuwa Siku Zako Za Kufa Zinakaribia Na Kwamba Utakuwa Masikini Wa Kutupwa Hapa Tanzania.

Mtoa Mada Ni Mpole Sana,mimi Kuniambia Hivyo Ningekupa Bonge La Tusi,anyway Maisha Anapanga Mungu Siyo Wewe Mwenye Jina La Dawa Inayotibu Gono Na Kaswende.
 
sijawahi kuwaza kuwa pikipiki yangu ingeshika moto,lakini ilitokea,sijawahi kuwaza kuonana na rais yoyote na bado naota mara kwa mara kuwa nipo na marais tofauti duniani.

Na Wewe Unahangaika Nini Kujieleza? Ma Mtu Humu Hayanaga Akili Kabisa Unapoteza Muda Wako Bure.
 
Mtoa Mada Ni Mpole Sana,mimi Kuniambia Hivyo Ningekupa Bonge La Tusi,anyway Maisha Anapanga Mungu Siyo Wewe Mwenye Jina La Dawa Inayotibu Gono Na Kaswende.

Wiseboy Sijakuelewa Je Unataka Kulianzisha Na Mimi au?
 
Mungu anakuandaa kua kiongozi mkubwa na mwenye heshima ndani na nje ya nchi, ila endelea kumuomba Mungu akufunulie zaidi ujue pa kuanzia.

Wewe Ndo Umeongea Point,hata Mie Najua Kuwa Mtu Akiota Amekutana Na Rais Au Viongozi,mtu Huyo Huja Kuwa Mtu Maarufu Sana Au Hata Kiongozi Kabisa,hebu Fikiria Mtu Anaota Amekutana Bush Ndani Ya Ndege,obama Na Kina Mkapa,eti Leo Majinga Humu Yanadai Ni Ugonjwa Wa Akili,ugonjwa Wa Akili Kuota Umeonana Na Obama? Angeota Kafumaniwa Ugoni Yasingesema Ni Ugonjwa Wa Akili,watu Tumejaa Roho Za Wivu Wa Hatari.Ni Watu Wachache Sana Wanaoota Ndoto Hizo Nzuri.Mtoa Mada Naomba Uni Pm Nikuelekeze Pa Kuanzia.
 
Wanajamvi hii ni mara ya pili sasa nakuja kwenu,mimi ni kijana masikini ambaye nina amini ipo siku katika hii mihangaiko yangu nitafanikiwa kimaisha, huwa naota ndoto na %90 huwa zinatokea kweli, miezi mitatu iliyopita niliota pikipiki yangu inaungua moto na kweli jana mida ya saa 12 jioni wakati naifanyia service ilishika moto na kuanza kuungua bahati nzuri nikaiwahi kwa kuizima na maji hivyo haikuharibika, usiku wa kuamkia leo nimeota nipo na rais Kikwete pamoja na mkewe Salma tunakula, hii ikiwa ni mara ya tatu kuota nipo na Kikwete, rais Bush akiwa madarakani niliota zaidi ya mara nne nikiwa naye na mara ya mwisho nikiwa nimekaa naye ndani ya Air Force One, Obama nimeota nipo naye mara mbili, Tony Blair niliota nikiwa naye Israel katika dhifa maalumu, hata Mkapa, Mwinyi nimeota mara nyingi nikiwa nao, napata hasira napoamka asubuhi na kujikuta nipo na shida zangu tu, ndoto hizi zina maana gani kujirudiarudia miaka yote? Wataalamu wa ndoto mnisaidie.

Utakuja kua mfalme wa dunia, mie nakushauri uendelee kuota tu.
 
Wewe Hujaelewa Mada,umejikita Kwenye Roho Ya Wivu,umejuaje Kama Pikipiki Inafaa Kuwa Bodaboda,ina Maana Kila Pikipiki Hutumika Kama Bodaboda? Sometimes Naona Kama Wivu Zaidi Unakusumbua,kwa Kawaida Mtu Akiota Kakutana Na Rais Wa Nchi Huyo Mtu Baadae Huja Kuwa Maarufu Na Kuheshimika Sana Na Jamii Inayomzunguka.No Matter How Long Itachukua Kutokea.Halafu Mtoa Mada Hajasema Kuwa Anajipa Matumaini Amekuja Hapa Jamvini Kuomba Translation Ya Ndoto Na Wewe Una Comment Tofauti.
Ngoja nikujibu anyway. Pikipiki kuitwa bodaboda si ishu. Pia sijaspecify atumie bodaboda kwa kazi gani. Yawezekana ni kumrahisishia kufuatilia ishu zake/zako maana inaonyesha unajichanganya na hizi identity. Kijana punguza mastress. Maisha si jambo la kufikirika kama unavyotaka kuamini. Fanya kazi. NAsema tena, tumia hiyo bodaboda kufanya kazi achana na kuwaza kuwa maarufu.
 
Wiseboy Sijakuelewa Je Unataka Kulianzisha Na Mimi au?

Hujanielewa Nini Mkuu? Tehehehehehe,wewe Ni Kijana Wa Pwani,uko Dar,na Mimi Ni Kijana Wa Bara Nipo Kahama Kwa Hiyo Huwezi Kulianzisha Na Mimi,kumbuka Mkuu Ulikuja Mbio Humu Umefurushwa Na Vipanya Road Tu,wakati Mimi Ningevikamata Nikavipeleka Shambani Vikalime.
 
Ngoja nikujibu anyway. Pikipiki kuitwa bodaboda si ishu. Pia sijaspecify atumie bodaboda kwa kazi gani. Yawezekana ni kumrahisishia kufuatilia ishu zake/zako maana inaonyesha unajichanganya na hizi identity. Kijana punguza mastress. Maisha si jambo la kufikirika kama unavyotaka kuamini. Fanya kazi. NAsema tena, tumia hiyo bodaboda kufanya kazi achana na kuwaza kuwa maarufu.

Nani Anajichanganya Na Identity? Wewe Bangi Za Chooni Zitakumaliza,unadhani Mi Nina Njaa? Hebu Kuja Pm Nikupe Mfano Ndo Uheshimu Watu Wote.
 
Nani Anajichanganya Na Identity? Wewe Bangi Za Chooni Zitakumaliza,unadhani Mi Nina Njaa? Hebu Kuja Pm Nikupe Mfano Ndo Uheshimu Watu Wote.
we si wa mwanza bana? mnauza mapanki na viungo vya albino, so una hela
 
Kama wewe ni mtu wa Mungu na unaota ndoto nzuri basi mwombe Mungu ndoto hizo zitimie na zitatimia
 
Back
Top Bottom