Ndoto hizi jamani

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,373
851
Kuna mkuu kanikumbusha kuhusu ndoto.. Kuna hii ndoto huwa wengi tumeipitia kama tulivyopitia darasa la kwanza NDOTO HII NI... UNAOTA UPO CHOONI UNAKOJOA KWA RAHA MUSTAREHE KUMBE UPO KITANDANI UNAKIACHIA KITU.. asa usiombe uote upo boarding school afu umelala decan
 
mbona husemi kama ulishawahi kuota upo chooni unakata gogo?
 
We inaelekea bado unasumbuliwa na ndoto hizi zenye kojo la kikubwa.......... lol
 
Kuna mkuu kanikumbusha kuhusu ndoto.. Kuna hii ndoto huwa wengi tumeipitia kama tulivyopitia darasa la kwanza NDOTO HII NI... UNAOTA UPO CHOONI UNAKOJOA KWA RAHA MUSTAREHE KUMBE UPO KITANDANI UNAKIACHIA KITU.. asa usiombe uote upo boarding school afu umelala decan

ukichanganya na kauvivu kutoka nje kulimwaga,ndo kabsaa unajiotesha kwa lazima...
 
Hahahaha hahhahha,
Usikumbushe bana lol!

hehe ndo ukweli huo mamie,nilikuwa nakasirika kweli nikiamka asubuhi maana godoro langu lilikuwa na bed cover nzito kweli na lazima ufue mwenyewe.Mpaka nikaacha kukojoa bila kupenda
 
Nakumbuka kuna siku moja niliota nimetoka kbs nikaenda chooni nikavua na kukojoa hee!!kumbe nimekojoa kitandan na usingizi ukanipitia sikujua,mama alipokuja kuniamsha trac suti iko chapa chapa ila nikawa nashanga mpaka nalia,
Ikabidi mama anilulize nalia nn nikamwambia mie nakumbuka nuliamka niliamka na kwenda kukojoa imekuaje nimekojoa kitandan watu walinicheka sana ndio ikaeleweshwa ilikua ndoa lol!
 
Kuna mkuu kanikumbusha kuhusu ndoto.. Kuna hii ndoto huwa wengi tumeipitia kama tulivyopitia darasa la kwanza NDOTO HII NI... UNAOTA UPO CHOONI UNAKOJOA KWA RAHA MUSTAREHE KUMBE UPO KITANDANI UNAKIACHIA KITU.. asa usiombe uote upo boarding school afu umelala decan

sio kweli wengine tulikuwa hatuna vyoo ttulikuwa tunakojoa mashambani kabla hata kampeni ya kilimo kwanza haijaanza..so eb tukumburhe side B ya ndoto kwa watu wa mashambani..
 
me czijui hizo wakumbushe wewe kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom