DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,101
Kama ni mkristo, omba au kafanyiwe maombi. Kuna kitu wamesha kuingizia katika ulimwengu wa roho.Ndugu naombeni msaada wenu kidogo hapa, leo nmeota nagombana nakikund cha watu, baada yakugombana sana tukajikuta wote tupo pembeni kila mmoja anaambiwa aluke ndani ya shimo hilo, nilefu sana unaluka kuna sehem unadaka alafu unaluka tena unakuwa umefika mwisho ukiluka vibaya vibaya unaumia, ilipofika zamu yangu mimi nkakataa kuluka yule mtu akawa ananlazimisha mimi nakataa muda huo nkashtuka usingizini, cijajitikisa ata kidogo kuna kitu kikawa kinanichoma kati kati yamgongo alafu kama nlikuwa naulizw swal sababu sikumbuki naulizwa nin,kwahisia zakawaida tu pembeni kulikuwa kuna mtu , nilipoona nazid kuchomwa namaumivu yanazidi nkajitikisa kidogo najifunika shuka vizur kila kitu kikaacha kuamka nawasha taa hakuna kitu, asubuhi naamka mgongo unaniuma sana.
Msaada wenu tafadhal.
Maombi na toba ndo mkombozi wako