kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 492
- 929
Asalam wana jamii?
Jana usiku nimeota nimekufa, nikawa nipo nyumbani jeneza likaletwa naliona na Mimi ndiye nilinunua jeneza Hilo,linafanana na alilozikiwa nalo Papa Francis!
Wakati mchakato unaendelea napiga story, watu wakawa wananiambia, yaani mwili wako upo ndani ya jeneza na wewe upo hapa, wakawa wananiambia nikaangalie ndani ya jeneza nikagoma, watu wote wa nyumbani hawakuwepo isipokuwa mama tuu, nae akawa ananiambia nikaangalie nikagoma, nikawaambia kwa Nini niende nikaage wakati mimi nipo hapa, Sasa nikaangalie ndani ya jeneza kwanini?
Kwenye yale mabishano ya kuaga ndo nikashtuka!!
Hii ndoto inanipa tahadhari gani wanajamii?