Ndoto hii inajirudia rudia

Ndoto hii inajirudia rudia

Ronee Ni-pm manake smat imezima mkuu..
Nimefanya kutumia kitochi kwa wakati wote huu..!
 
wanajukwaa jambo?
Kwa wale wenye ufahamu na maswala ya ndoto tafadhalini naomba mtoe mchango wenu hapa,
Imekuwa kawaida kwangu kuota kwamba niko mazingira ya masomoni, (msingi, sekondari au chuo) nikiwa sambamba na wadau niliosoma miaka hiyo tukiendelea na jukumu la la kusaka elimu, ndoto hii hunitokea zaidi ya mara 3 ndani ya wiki na imekuwa ni endelevu, binafsi nilihitimisha masomo yangu miaka kadhaa nyuma na sina mpango kabisa wa kuendelea na masomo na wala sifikirii hilo tena! Wadau hii inaweza kuwa na tafsiri gani maana kwangu naona imekuwa too much!
Naomba mawazo yenu tafadhali.
Ngoja niwe wa kwanza kukuitia Mshana Jr
Muite mkuu, nashukuru.
Kuna changamoto unatakiwa kuzifanyia kazi na kuzikamilisha, baadhi ni viporo vya muda mrefu na umefika wakati wa kuzitatua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri pia ufuatilie Mafundisho ya Mwl Christopher Mwakasege,yanayohusu ndoto yatakusaidia sana,na utapata jawabu zuri.Unaweza kuyapata YouTube au Pata kitabu chake cha "Miongozo ya Kutafsiri na kuombea Ndoto Kibiblia,Kitabu cha 1.In sh 5000 tu
 
Ninaweza kukipata hiki kitabu wapi mkuu, thanks
 
Ninaweza kukipata hiki kitabu wapi. mkuu, thanks
Tafuta zilipo ofisi za Mana Ministry (Ofisi za Christopher Mwakasege)zipo dsm&Arusha pengine mikoa mingine zaweza kuwepo,pia vinapatikana kwenye semina zake,zaidi ingia Google,search tovuti ya 'Mana Ministry'au Facebook 'Christopher's&Diana Mwakasege(Mana Ministry)'utapata msaada wa namna ya kuvipata.Pia majibu ya post no 25 in sehemu ya kitabu hicho.
 
Thanks a lot
 
Jamani, na Mimi naomba msaada ndoto hii imejirudia ; Jana nimeota naokota hela kwanza elfu 11,000/= ( elfu 10,000/= ikiwa imekunjwa pamoja na elfu 1000/=)kisha elfu,elfu kama Mara tatu. Yaani kila baada ya hatua naokota elfu.

Mwanzo nilipookota niliamini wengine hawajaona ni kwa kificho lkn kadiri ninavyoziokota zingine naona na watu wengine wanaona na nahisi kama watakuja kama zitakuwa nyingi.( nikastuka)

Leo, nimeota muendelezo kwamba Jana niliota naokota hela , kumbe ni kweli Leo nimeokota 10,000/= huku nikiamini siko ndotoni Jana ndio nilikuwa naota.

Wanazuoni naomba fasiri.
 
Unapo okota pesa ndotoni si vizuri Sana kwani izo pesa huweza kuwa za kichawi zimefanyiwa jambo ambalo lipo kinyume na taratibu au amri za mungu
Ila mbaya zaidi ni kuota pesa yenye thamani ndogo zaidi
Mwisho wa yote mkuu hayo ni matatizo na shambulio katika maisha yako hassa katika kipato chako
Mfano :unaweza kuta iyo pesa ilitupwa kwa ajiri ya tambiko Fulani ivyo ww kuiokota ni kukaribisha madudu Yale katik maisha yako
Ushauli sarii Sana kwa imani yako mungu abatisaidia na hutapata shida Amini msaada wa mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom