Omba sana MUNGU akuepushe na shetani ,kwani pia MUNGU huzungumza na mwanadam kwa njia ya ndoto,nebukardineza alipokea ujumbe toka kwa MUNGU kwa njia ya ndoto ukimuonya juu ya matendo yake lkn hakusikia mwisho wake baadae aliluka kuishi maisha ya ajabu alikupa mpaka majani ,mwingine ni farao ambae pia MUNGU alimjulisha juu ya njaa kwa njia ya ndoto alileta waganga wachawi lkn hawakuweza kutafsri hiyo ndoto mpaka alipoletwa yusufu mwana wa yakobo ndiye aliyemtafslia hiyo ndo farao,muombe MUNGU akupe neema ya kuzielewa ndoto barikiwa sanaUlichosema ni kweli mkuu, nimeshapitia mitihani mizito sana simu za karibuni, hata kuwa hai leo naona ni neema tu! sasa kama inakuja mingine mbele sijui itakuwaje...
Inafatana lakni Mara nyingi inakuwa ni shetani au adui wa kutumwa kudumaza na kuharibu maisha yakoAsante kiongozi, nimepokea ushauri wako, pia naomba kuuliza kidogo, je hiyo hali ni ya kawaida kwa mtu yeyote? au ina uhusiano na mambo ya kitamaduni (nguvu za giza) ahsante
Na ndoto kujirudia ujue unasisitizwa juu ya jambo hili usicheze chukua hatuna haraka kwani lipo karibuNdio iko hivyo sasa....... Hapo lazima uokoke au usali kwa imani yako huyo ni shetani kakamata maisha yako Mkuuu
Hutakuja kufanikiwa Kama na utazidi kuwa na maisha mabaya ushauriii salii Sana kwa imani yako basil utafunguliwa
Pia mwili wako hauko vizuri kunawatu wanutumia sasa Saliii mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina mtumishi! kama hautojali ningeomba nikutembelee pm kwa ajili ya kupata namba ya what's up ili pia nipate kujifunza zaidi juu ya somo hili kwa upana. Ubarikiwe sana.Pole sana lakini Mungu hatakuacha. Wewew ni wake hivyo mrudie na utubu kama mwana mpotevu atakupokea na utainuliwa tena. Nami nakuombe neema ya Mungu iwe nawe
Asante kwa uchambuzi mzuri mtumishi naamini hii itakuwa ni msaada na kwa wengine pia!Hebu tuangalie mfano juu ya Biblia inasema nini kuhusu tafsiri ya ndoto zinazohusu madarasa, au kusoma, au kufanya mitihani; na ujumbe uliomo ndani yake.
Ukisoma kitabu cha Danieli 1: 3 – 20 unaweza kujifunza yafuatayo juu ya ndoto hizo:
(i) Maandalizi yanahitajika kwa ajili ya hatua iliyo mbele yako, au hatua unayotaka Mungu akupe unapoomba katika maombi yako.
(ii) Kuota “shule” au “chuo” maana yake maandalizi ya hatua fulani iliyo mbele yako yanahitaji utaratibu maalumu.
(iii) Kuota “shule” au “chuo” ulichowahi kusoma zamani, ina maana kwamba kuna jambo lililotokea hapo ulilotakiwa “kuvuka” – lakini hukuweza kuvuka, na kwa hiyo kuna eneo limekwama kwenye maisha yako.
(iv) Watu mlio nao darasani katika ndoto ina maana watu mlio ngazi moja ya kimaandalizi
(v) Kuota ndoto uko darasani na watu uliowahi kusoma nao zamani au unaota unarudia darasa, au unarudia mtihani – ina maana umekwama mahali kimaisha na unahitaji maandalizi ili kuvuka hapo.
(vi) Ukiota hukai darasani wakati wengine wako darasani; au hukai kwenye mtihani wakati wengine wanafanya mitihani – ina maana huna utulivu unaotakiwa uwe nao ili uweze kujiandaa vyema kwa hatua iliyo mbele yako
(vii) Ukiota unafanya mtihani – ujue: au unapita mahali kimaisha ambapo unapimwa kiwango chako ulichofikia kimaandalizi; au mbele yako kuna kuja kipimo kwa ajili ya kujua ikiwa umefikia kiwango kinachotakiwa kwa wewe kuingizwa hatua nyingine ya maisha
(viii) Ukiota unaota unasoma, na ukaona na somo unalosoma, au ukaota unafanya mtihani na ukaona somo la mtihani huo – ina maana unaonyeshwa aina ya, au eneo la – maandalizi unalotakiwa kulifuatilia kimaandalizi
Kumbuka – huu ni mfano tu wa kutafsiri ndoto na kupata ujumbe uliomo ndani yake kwa kutumia neno la biblia.
Mungu aendelee kukubariki unapoendelea kujifunza somo hili la ndoto.
kwa zaidi soma hii thread
Internet.org
Nimeupokea ushauri mkuu, ubarikiwe!Na ndoto kujirudia ujue unasisitizwa juu ya jambo hili usicheze chukua hatuna haraka kwani lipo karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mahali kwenye maisha Umekwama ,Huwezi Kuendelea kwenye stage nyingine mpaka uvuke hapo.wanajukwaa jambo?
Kwa wale wenye ufahamu na maswala ya ndoto tafadhalini naomba mtoe mchango wenu hapa,
Imekuwa kawaida kwangu kuota kwamba niko mazingira ya masomoni, (msingi, sekondari au chuo) nikiwa sambamba na wadau niliosoma miaka hiyo tukiendelea na jukumu la la kusaka elimu, ndoto hii hunitokea zaidi ya mara 3 ndani ya wiki na imekuwa ni endelevu, binafsi nilihitimisha masomo yangu miaka kadhaa nyuma na sina mpango kabisa wa kuendelea na masomo na wala sifikirii hilo tena! Wadau hii inaweza kuwa na tafsiri gani maana kwangu naona imekuwa too much!
Naomba mawazo yenu tafadhali.
Ubarikiwe kwa maoni haya mkuu.kuna mahali kwenye maisha Umekwama ,Huwezi Kuendelea kwenye stage nyingine mpaka uvuke hapo.
Angalia hata hao wadau uliosoma nao miaka hiyo unaowaona kwenye ndoto level yenu ya maisha inafanana in real life ,,
Mungu anataka kukuvusha kwenye stage nyingine,ndio maana ndoto hiyo inajirudia rudia Mara nyingi,,
Muombe Mungu Akusaidie ili uvuke hiyo stage.
Samahani naomba nielimishe kunauhusiano gani hapo Kati ya iyo ndoto na kuomba kazi nisaidieUmewahi kuomba kazi hivi karibuni??
Nashukuru kwa mchango wako mkuu hasa ulipojenga hoja ukirejea vifungu vya kitabu kitakatifu na mwishoni ukatambua uwepo WA huduma ya MANA. barikiwa sana,Baada ya kusoma huu uzi ghafla nimekua na burning desire ya kutoa msaada. ..
[kuhusu kuota chuo ama shule ya zamani]
Maana yake ni,
.
(i) Unatumia zaidi hazina ya fikra ya zamani kuliko hazina ya fikra mpya na kwa ajili hiyo, viwango vyako kimaisha na kazi viko chini ya viwango vinavyotakiwa. Refer mathayo 13:52..
.
(ii)Kuna jambo ulitakiwa kuvuka hapo kifikra lakini huwezi kuvuka. Na kwaajili hiyo, kuna eneo ktk maisha yako ambalo limekwama kwa sababu hiyo kipindi uko katika kiwango cha chuo/shule ulichowah kusoma ambacho unaota (2wakorintho 10:3-5)
.
kuhusu watu/wadau uliowahi kusoma nao zamani
(i) maana yake kipindi mnasoma mlikwama kifikra kwa kufanana kwa hiyo hata hali zenu kimaisha zitakuwa zinafanana (mith 23:7)
.
(ii) unahitaji maandalizi ktk eneo mlilokwama kifikra na hata ukiangalia maisha yako na wale ulokua nao hayana tofauti kubwa.. danieli 1:17-19.
.
credits to MANA Ministry book..(2018)
Mkuu nashukuru kwa hili ulizo, hata mimi nilikuwa nasubiria madame aseme chochote juu ya hili.Samahani naomba nielimishe kunauhusiano gani hapo Kati ya iyo ndoto na kuomba kazi nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
I like thatKama ni mkristo Mungu anakuonesha ya kwamba kuna sehemu umepungua hivyo unahitaji kuelimika. Mfano kama kiimani upo kiwango cha chini hivyo unahitajika kujifunza zaidi. Basi jaribu kuomba roho mtakatifu akufafanulie hiyo ndoto maana kujirudia kwa ndoto inamaana unapewa msisitizo hivyo usipuze. KIBIBLIA NI
NDOTO ZINAZOJIRUDIA: Hizi ni ndoto ambazo mtu unakuwa unakumbusha kitu fulani kinachoendelea au kitachotokea katika maisha yako. Kuna ujumbe ambao Mungu anaweza kuwa anakuambia kwa kurudia.
Wengi huwa hawajali hata kama Mungu akiwaambia zaidi ya mara moja. “Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitanani” (Ayubu 33:14—15).
Ndoto za kujirudia usizipuuzie kwani kuna ujumbe muhimu. Farao aliota ndoto mbili ila zenye ujumbe mmoja. Yusufu alimwambia “Na ndoto ya Farao kwa vile ilivyokuja mara mbili, ni kwa sababu neno hilo Mungu amelithibitisha, na Mungu atalitimiza upesi.
Hakikisha una tabia ya kuandika ndoto kama inawezekana kwani maono yanapokuja, lazima yatatokea kwa wakati ulioamuriwa (Habakkuk 2:2—3). Tutazidi kujifunza katika kundi letu la WhatsApp na kuangalia maandiko yanasema nini juu ya ndoto unazoota.
PIA SOMA BIBLIA KITABU CHA Danieli 2:26-28
Ubarikiwe[emoji120]
[emoji120]
[emoji120]![]()