MAHENGE JR
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 497
- 637
Mimi huwa naota niko lapili "D" huwa nawaza sana maana nibora ningekuwa naota niko "A"
Ko lina taka nn ilo jiniHilo ni jini mahaba unapoota Upo na mwanamke mara kwa mara kunashida ya jini mahaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikwambie kitu mdauwanajukwaa jambo?
Kwa wale wenye ufahamu na maswala ya ndoto tafadhalini naomba mtoe mchango wenu hapa,
Imekuwa kawaida kwangu kuota kwamba niko mazingira ya masomoni, (msingi, sekondari au chuo) nikiwa sambamba na wadau niliosoma miaka hiyo tukiendelea na jukumu la la kusaka elimu, ndoto hii hunitokea zaidi ya mara 3 ndani ya wiki na imekuwa ni endelevu, binafsi nilihitimisha masomo yangu miaka kadhaa nyuma na sina mpango kabisa wa kuendelea na masomo na wala sifikirii hilo tena! Wadau hii inaweza kuwa na tafsiri gani maana kwangu naona imekuwa too much!
Naomba mawazo yenu tafadhali.
Amina mkuu Mimi pia huwa naota ata ndoto 5 na ninazijmkumbuka zote na huwa zinamaanisha ukweri waeukichokiota muombe mungu sariii kweri abajibu na watu wanaota ivyo wajue mungu anewapa kitu cha kipekee either utajir, uongozi, utumishi mzuri kwa mungu au baraka zingne ila shetani anazichelewesha kwani shetani hawezi zuia liziki yako sari uipate kwa wakati mimi mungu kanitendea vituu vingii mpaka huwa nalia kwa furaha Mimi nimetoka huko hukoNgoja nikwambie kitu mdau
Mm ni miongoni mwa watu wanaoota nipo shule mpaka Leo wakati nimehitimu shahada ya kwanza tangu 2013 ,
Halafu naota nipo shule Mpaka za secondary.
Kuna wakati nilikuwa naota nimebeba mtoto ambaye uzito wake mkubwa kuliko wangu. Ikiwa na Maana magumu yangu yatayonikabili.
Nakushauri sali Sana kuna kitu mungu anataka kukuonesha.
Kwa upande wangu naota ndoto nikiamka asubuhi naikumbuka yote ujue ina ukweli
Mara nyingi ndoto zangu hujirudia Mara Mbili kitu kimoja.
Sali kwa uweza wako wote mungu anajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru mdau, wadau wengi hapa wametoa ushauri unaofanana na huu, pia umeongea kwa kuwa shuhuda wa moja kwa moja, niseme tu kuwa ushauri wote toka kwa kila mdau nimeupokea na naamini nitapata matokeo chanya nikiufanyia kazi ipasavyo! Asante sanaNgoja nikwambie kitu mdau
Mm ni miongoni mwa watu wanaoota nipo shule mpaka Leo wakati nimehitimu shahada ya kwanza tangu 2013 ,
Halafu naota nipo shule Mpaka za secondary.
Kuna wakati nilikuwa naota nimebeba mtoto ambaye uzito wake mkubwa kuliko wangu. Ikiwa na Maana magumu yangu yatayonikabili.
Nakushauri sali Sana kuna kitu mungu anataka kukuonesha.
Kwa upande wangu naota ndoto nikiamka asubuhi naikumbuka yote ujue ina ukweli
Mara nyingi ndoto zangu hujirudia Mara Mbili kitu kimoja.
Sali kwa uweza wako wote mungu anajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, shuhuda za wadau mbalimbali zinaonyesha dhahiri kuwa ndoto hii ina uhusiano wa karibu na mapito mazito/magumu ktk maisha..nitapiga hatua mbele kwa kutafuta ufumbuzi mkuu hasa kwa njia hii ambayo wewe na wadau wengine mmeshauri.Mkuu Ronee mm pia nishaota sana hizo ndoto asee,,na nlikuwa napitia sana magumu ila siku hz zimepungua na mambo kiddogo yamelegea ila hii ni baada ya kupiga sala sanaa ikiwemo na kufunga pia.
So jitahidi kujiweka karibu sana na lMuumba asee,,