Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,090
Kuna post ya Kifyatu iliyouliza maana ya ndorobo lakini ikafungiwa, pengine ilitafsirika vibaya
Lakini ndorobo ni aina ya nzi wanaopatikana maeneo ya wafugani
lakini vilevile kuna N'dorobo kabila ambalo lina asili na vinasaba na wamasai na watu pori na wameenea eneo lote Afrika mashariki na nje yake

Inawezekana kabisa imefungiwa kutokana na lile tangazo la Airtel, lakini mods wangeangalia kwanza trend ya majibu kabla ya kufikia kuifunga ile post....kwa mwendo huu naona hata neno lofa/malofa litatiwa kitanzi muda si mrefu

Last edited by a moderator: