Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Na ndo lengo lao ukiwa husali obviously unakua hauna flame inayo waka kichwani ndo wanakufata. Ila wale waombaji huwa hawawasogelei wanakua wamezungukwa na moto. Ukiwa na hurumq ukiwapa jiandae kwa mabalaa na mikosiKumbe!!!!! Mbona kama hivyo watakuwa washaondoka na nyota yangu jamani!!!
Wataisoma number kuanzia leo Karume dayNa ndo lengo lao ukiwa husali obviously unakua hauna flame inayo waka kichwani ndo wanakufata. Ila wale waombaji huwa hawawasogelei wanakua wamezungukwa na moto. Ukiwa na hurumq ukiwapa jiandae kwa mabalaa na mikosi
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba hili nimeshindwa kulipatia majibu ya kutosha hata baada ya kujipa muda wa kutosha kulitafit.
Binafsi nilishawahi kumuona walau ndondocha mmoja mwenye asili ya kiasia pale buguruni kwa tajiri mmoja wa magari ya kusafirisha mizigo..huyo ndondocha alikuwa mama mzazi wa huyo tajiri na alikuwa kawekewa wafanyakazi wawili wa kumwangalia kwa kila kitu...alikuwa anafungiwa chumbani muda wote na alikuja kufariki mwaka 2004 na jamaa kufilisika kabisa mwaka 2005.
Hizi habari za ndondocha zinahusishwa pia na wakinga na watani zangu wachaga japo kwa kiasi kidogo na wabondei na makabila mengine kwa uchache.
Nimeshindwa kupata jibu la hakika inakuwaje kumfanya mtu ndondocha kisha wewe upate utajiri...!!!yani mwingine ateseke aishi kifungoni huku wewe kupitia yeye uishi maisha ya ufahari sifa mafanikio heshima na umaarufu???
Utajiri wa ndondocha hauna tofauti na utajiri wa kuua lazima uishi kwenye maagano na viapo na masharti mengi..! Unapenda utajiri sawa unapenda mafanikio sahihi kabisa..! Lakini angalia unapata utajiri wa aina gani ili mwisho wa siku tusikuone unafilisika ghafla na kuwa na mikosi kibao.
Utajiri wa ndondocha unatesa wengi sana kwakuwa huyu akifa inabidi fasta uandae mwingine wa ku take cover na kumbuka wote lazima wawe ndugu wa karibu
Nitashukuru kwa topic ila maana yangu ilikuwa ni uhawilisho wa utajiri na kiumbe kilicholemaa akiliMimi najua kila kitu kuhusu huo utajiri, ila umenishangaza Sana mkuu kusema kuwa hujui, maana najua una uelewa mkubwa Sana na mambo ya ulimwengu wa roho, hili nitaliwekea topic yake maalumu maana Inanipasa kueleza Kwa kina zaidi.
ss yupi ambae ukimpa hela ni hatari kati ya omba omba na kichaa??Zamani nilikua nawaonea huruma na kuwapa hela ila kuna siku mchawi mkubwa aliokoka na kutoa ushuhuda jinsi watu wanavoingizwa kwenye maagano na kuzimu mikosi kisa kujifanya una huruma. Wengi waweza waona walemavu kumbe ni wazima wameenda kuvaa mavazi ya ukichaa na ulemavu. Kumpa hela omba omba ni hatari sana
unitag hiyo mada mkuu ciproMimi najua kila kitu kuhusu huo utajiri, ila umenishangaza Sana mkuu kusema kuwa hujui, maana najua una uelewa mkubwa Sana na mambo ya ulimwengu wa roho, hili nitaliwekea topic yake maalumu maana Inanipasa kueleza Kwa kina zaidi.
Usimjibu huyu tafadhali naona kishatamani jambo Fulani.Kumbe,Kwaio Mtu Akitaka Kumtoa Ndugu Yake Anafata Procedure Zipi?
Adui wa mtu ni wa karibu sana; ingawa watu wengi huwa wana usema huu msemo ila hawachukulii maanani. Mtu wa karibu anaweza kukufanyia chochote ili yeye afaidike; na anaweza akawa mwema kwako na hata ucweze mfikiria kama anaweza kukutendea kitendo kibaya. Mungu atupatie macho ya rohoni; na Mungu hawez kukupa macho ya rohoni kama ukiwa na chuki au kutomsamehe huyo mtu na kumuacha Mungu alipize kisas kwa ajili yako. Hata hao wanao watoa wenzao ni watu wa karibu kabisaa
Karibu tenaNimekupenda bure.
This is some solid fact. Thank You !!!
Kuna mengine ni kupakaziana tuu lakini unajiuliza inakuwaje mtu anakaa na mgonjwa wa akili ndani ya nyumba na hata siku moja hajaribu kumpeleka kwenye tiba wakati uwezo anao?
Ni masharti kwa sehemu kubwa kwakuwa utajiri huo hautokani na elimu na maarifa bali ushirikinaThis is very TRUE.
Na je mshana heb nikuulize. Ivi ma ndondocha si wapo wa aina nyingi ??
Kuna mzee mmoja namfaham ni tajiri kweli lakn hasaidii familia yake kujikwamua ki uchumi ilihali wameshakua watu wazima na akili zao na shule wamepiga fresh tu....mtu unapesa nyingi but unabania wanao wasipige hatua. Is this some sort of a similar thing ??
Its very strange, bora wangekua watoto ila ni watu wazima kabsa.
Ni masharti kwa sehemu kubwa kwakuwa utajiri huo hautokani na elimu na maarifa bali ushirikina
Nimekupata sana kwenye post zote mbiliKwaharakahaka nime waku mbuka watu tano.niliokuwa nina wajua tangu wakiwa wazima nakwasasa wana tokwa udenda huku waki hesabu majani ya mikahawa na mabox.wakisema ndio pesa.
Jr mshana: mbali na utajiri wa kumfanya mtu ndondocha.nina amini utakuwa ukiujua utajiri wakutoa vichanga mimba tumboni kwa mama yake nahuu pia huwa ni ndugukwandugu tena kesinyingi huwa niza mtu na mume wake.
Kuna utajiri mwingine pia waku mfanya mtu kuwa chizi au kichaa nani tofauti kabisa na ndondocha. Kwani huu huenda paka kwa watu wasio na udugu wowote na anaefanya haya mambo.
Kuna mifano yawatu walio kwenda kufanyakazi kwawatu kama kazi zandani au kuuza duka nayakawakuta.
Bilashaka utakua unajua habari zaku angamiza kabisa hizi habari pia kule rombo sio ngeni sana mtu anakufa . Mjengo wamaana una tengezwa ,gari nalenyewe lina nunuliwa uki angalia anae nunua haeleweki.ana majumba magari lakini maisha yake yakijima balaa! Ubahili wakuchupa mipaka mtu ana pesa nguo anazo faa nihatari, kiatu namaisha yake kwajumla nibora hata angekuwa fukara.
nimekuelewa sana mkuu,,kumbe misheni nzima ni ya shetani kukusanya wafuasi wa kumkosea MunguHalafu Maagano mengi ya waganga na hayo mashetani/majini machafu ni kwa ajili tu ya kufanya jambo litakalo muudhi muumba, yani hawa waganga wanashirikiana na mashetani/majini machafu kumpotosha mwanaadamu na kufanya yale ambayo Mungu anachukizwa nayo, na jinsi unavyozidi kufanya yale ndio unapandishwa cheo uchawini au unazidi kufanikiwa, kuna wengine huaambiwa walale na mama zao au mabinti zao, yani jinsi anavyhozidi kumgegeda mama yake au binti yake, basi mali zinazidi, HAKUNA HATA TAJIRI MMOJA, ANAEAGIZWA NA MGANGA KWAMBA KILA IJUMAA AU JUMAPILI KUSANYA WATOTO YATIMA LISHA, AU PELEKA VYAKULA KWA WAGONJWA NA UTAZIDI KUWA TAJIRI, HAYA MAMBO HAMNA KWA MASHETANI NA WAGANGA, Kwahiyo wewe mwenyewe jiulize mtu anapofanywa ndondocha yule shetani anafaidika nini? mfano mtu kuua mtoto au mzazi wake ok tunadanganywa wanakunywa damu, vipi huyu anaeagizwa atembee bila ya viatu au asivae vizuri, au asichane nywele, au alalae na mama yake au mwanae???