Ndondocha na utajiri

Nitaomba na mimi nipate copy
 
mashan Jr kuna taarifa kuwa baadhi ya watu wanauza ndondocha na wengine wananunua kuna ukweli hapa, kuna hatari ipi endapo ndondocha hatatoka katika kifungo chake kwa yule mmiliki , ni kweli kuwa ndondocha anahitaji kuwa na mwenza wa kufunya naye mpenzi kuna hatari yeyote ile kwa family kuingilia kimwili na ndondocha endapo hakikosa mwenza wake.
 
Hili ni jipya kwangu na laweza kuwa hybrid kwenye myth nzima ya undondocha...nijuavyo mimi ndondocha lazima awe ndugu kinyume cha hapo huyo ni msukule na kwa taarifa yako ukishakuwa ndondocha huwezi kuwa na nguvu ya kufanya mapenzi hivyo hapo kuna walakini. .. la sivyo kungekuwa na kizazi cha ndondocha tupu na watu wangezidi kupeta na utajiri
 
OK, ila volume yake ni kubwa pia. Maana ime cover tamaduni za wabantu wa kusini mwa jangwa la sahara, ila suala la ndondocha walilifanyia tafiti haswa kutoka kwa wayao.
Haina shida hobby yangu ni kusoma vitu vipya
 
Ama kweli kitalaamu mtu huyu akishakuwa ndondocha anakuwa idiotic hajitambui hajui baya na zuri yaan anakuwa kwenye mental retardation.....so hawezi kukumbuka mapenzi.
 
Hii dunia kuna watu shwain kweli,kuna jamaa alitoka kwao njombe MAKETE huko akaja pale Ilala mtaa wa lindi na shaulimoyo kwa nduguze akiwa safi kabisa,ndugu yake alikua anamiliki baa,miezi kazaa nikawa namuona anabadilika taratibu kuwa wa ovyo mpaka akawa chizi,kwa kua ile ndo ilikua njia yangu ya kwenda shule kwa hyo mamjua tangu anakuja,tangu yule bwana awe chizi baa ya nduguye ikashamiri ikakua,nikaja kuskia nduguze ndo wamemtenda ili wafanikiwe,tukawa tunamuita tu chizi MAKETE,Mi ndugu siwaamini kabisa.
 

Kina page ngapi mkuu huwezi ukaki scan tukapata maarifa yasije kupotea kabisa
 
 
mashana Jr nimerudi tena kuna swali nimekumbuka ili MTU hawe ndondocha lazima afariki wakati wamemzika uku kwetu maeneo ya pwana kuna Siku arubain au kuna arubain endapo wafiwa wakiwa na Wasiwasi na kifo ukutaa kufunya arubain inasemekana kuwa watu walio muua watashindwa kukamilisha lengo la kuwa ndondocha kuna ukweli wowote
 
Na ukitaka kujua wamemtengeneza kamwe hawampekeki hospital
 
Huyo ni msukule sio ndondocha, kwakuwa ndondocha hahitajiki kufa na hufanywa ndondocha na ndugu yake wakati msukule ni mambo ya wachawi wanaweza kumchukua yeyote
 
Haya mambo yapo sana unakuta kama mganga wake hajatoa sharti la undondocha basi yule mmiliki anaweza kuwa na kidonda hakiponi hicho na kikianza kutoa maji na harufu mbaya hapo mkwanja unatiririka kweli kama si hivyo utakuta kafuga bonge la nyoka hilo na kuna watu maalumu ya kulihudumia so nadhani kuna aina tofauti za maagano achilia mbali kukutana mara moja kimwili na mzazi wako kwa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…