Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
Ukiwa na mume bondia utafanyeje? Halafu unaenda kushangilia ulingoni
Sina shaka huko nilishachomoka, nilisoma alama za nyakati mapemaaaa.
Ukiwa na mume bondia utafanyeje? Halafu unaenda kushangilia ulingoni
Watu mna vituko jamani!!!!halafu akifika nyumbani anakuta wakwe na mashemeji wamerundikana kwenye Dining table wanakamua misosi na kukenua mimeno na bado wanataka mahitaji ya kuendesha maisha yao, kudadeki naoa wote.
Pole sana kaka, siku hizi mambo yamegeuka maana wanawake wanakula kwa jasho na wakati huo huo tunazaa kwa uchungu!Wanaume watakula kwa jasho lakin wanawake watazaa kwa uchungu!