Bingwaman
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 548
- 288
Masumbwi katika picha. Pata kichapo upate pesa.
hahahahhaha...eti hapo baba yupo kazini
halafu akifika nyumbani anakuta wakwe na mashemeji wamerundikana kwenye Dining table wanakamua misosi na kukenua mimeno na bado wanataka mahitaji ya kuendesha maisha yao, kudadeki naoa wote.
kwanini wakwe na mashemeji mkuu........halafu akifika nyumbani anakuta wakwe na mashemeji wamerundikana kwenye Dining table wanakamua misosi na kukenua mimeno na bado wanataka mahitaji ya kuendesha maisha yao, kudadeki naoa wote.
kwanini wakwe na mashemeji mkuu........
hahahahhaha...eti hapo baba yupo kazini
kirafiki!hizi kauli zingine bwana!!!kirafiki unamharibu mwenzio sura!!....PAMBANO LA KIRAFIKI.
Hayo makonde yote wanayopokea ukifuatilia vizuri utakuta lilikuwa PAMBANO LA KIRAFIKI.
Nimeshaacha wosia, katika familia yangu mtu yoyote asijihusishe na mchezo huu. Sihitaji kufa na presha.