Ndoa zina matukio jamani

Sifuti kauli, 🀣🀣singles wengi wanakaa nalo rohoni, some girls are crying kwenye vitanda vyao daily, wanataka kupapaswa usiku....waaapi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja kwanza.
Unazungumzia usingle wa kuishi mwenyewe ama usingle wa kukosa le mubebe??

Naishi mwenyewe na siko single.
Nikimiss mipapaso si namfata ama anakuja?
 
Inaonyesha kuishi kwako single kulikupa experience mbaya πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama chanzo cha furaha zako zinachagizwa na watu wa nje, hapo lazima uone moto kuishi mwenyewe. Ila kama umejijenga na hobbies zako, mbona ni raha sana kuishi single.
Niliishi single hadi almost senior bachelor, naujua usingle, najua how it feels to be single, najua how it feels kuwa na gf mtaa wa kumi huko, its a mess wala hakuna raha yoyote kuifata papa huko Matosa.

Ingia kwa ndoa then come back niambie tofauti yake.
 
Una uhakika gani kama kwenye ndoa kunazalisha upweke?
Kwasababu ndio mnaongoza kukesha hata humu jukwaani. Na nyuzi za kilio kila kona ya mitandao.
Nineishi single so naweza kuongelea maisha ya usingo. Ups na downs za ndoa hazimaanishi kuwa basi wanandoa wanaishi ugumu all the time.
Ila kwa wengine ni ugumu all the time si ndio?
Ila knowing unalala na kuamka kama wewe, huna mtu wa ubavu wa kushare issues bunafsi, huwezi kupanga na kupangua na mtu wako
Wa kushare nae issue zako sio necessarily awe mpenzi/mke/mume wako.
, hupati papa kila ukiitaka
Na mnavyolalamikaga humu hamzipati kila mkitaka kumbe huwa mmelewa?
, yani hadi appointment 🀣🀣 huo ndio upweke kwa tafsiri yangu
Oooh kumbe ni kwa tafsiri yako. Basi sawa.
 
Haha hivi kwanini uwa mnalazimishia mambo? Upweke how? Pengine labda sikuelewi..
Hawa jamaa wanalazimisha furaha yao iwe furaha ya kila mtu. Binadamu hatuko sawa. Mimi binafsi maisha ya kukaa naulizwa ulizwa uko wapi?,unarudi saa ngapi?,mbona hujaniambia utachelewa kurudi?,mbona Jana tulikuwekea chakula hujala!?, weekend hii tukamuone dada yangu kajifungua, mtoto wa shangazi anapata komunio jumapili tushinde huko... n.k,n.k.. SIYAWEZI HAYA MAISHA Kwa herufi kubwa. Mimi siwezi kuishi kwa kanuni maalum, nikiamua nakaa ndani weekend nzima, nikiamua naondoka ijumaa jioni narudi jumapili, tena naweza kujikuta nimeliamsha nipo Moro, Dodoma, Tanga au Arusha. Ndo maana hata ajira zilinishinda nimejiajiri. Kwa ufupi sipendi ku complicate maisha. Mnaoweza kuishi kwa masharti sawa. Na tulioamua kuishi ki single by 100% mtuache. Furaha yetu hamuwezi kuielewa. Hakuna kitu kizuri kama kuwa huru, na mnaosema "hakuna kitu kizuri kama ndoa",nawaheshimu pia ndo furaha yenu, ila tusipangiane kila mtu aishi anavyoona anapata furaha.
 
U see it depends how you control your life as long as you’re happy with what you do that’s life hata mm ikichoka akili naenda mazoezini ya mpira or Jim or hata kwenda kusikiliza music or beach as long as your happy that’ll
Sasa je

Afu kuna kina Eroni ambao hawawezi hayo yote ndio maana anaona mtu akiishi alone ni mateso. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja kwanza.
Unazungumzia usingle wa kuishi mwenyewe ama usingle wa kukosa le mubebe??

Naishi mwenyewe na siko single.
Nikimiss mipapaso si namfata ama anakuja?
Sasa mipapaso ya kuifata Mbauda nayo mipapaso mkuu? Hapo ni kitu nyingine kabisa, trust me...changamoto za maisha zipo tu, uwe occupied, single, married...zipo tu. Mnawasimanga sana married couples kwa wanaishi "kishujaa" kumbe singles ndio wanaishi kishujaa zaidi 🀣
 
Kuna kesi nilikumbana nayo, mwanamke ana watotu watatu.

Ikajulikana huyo mwanamke anatembea na mdogo wake mumewe, yaani shemeji yake. Akaitwa na wakwe zake akanywe.

Wakaanza kumwelezea walichomuitia, akawaambia "kweli, natembea na shemeji, hatujaanza leo, hawa watoto wote watatu ni wake. Muulizeni mwanenu sababu ni nini".

Kesi ikaishia hapo hapo.
 
Soon nami naingizana humo tubanane
 
Kukesha mitandaoni ni issue nyingine kabisa, ni swala na priorities, swala na addiction wakati mwingine au aina ya shughuli mtu anafanya, kuna mtu kazi yake haimpi uhuru wa kushika simu hata dk10, ila wengine wana uhuru huo. So kuwa online hakuna uhusiano wowote na issues za kifamilia.
 
Unakesha mtandaoni sbb uko lonely
Hamna story za kupiga na mke
Intimacy iko low, mke kalala we uko macho and vice versa
 
Suala ni priorities rightπŸ˜‚
Kwahiyo unapokesha mtandaoni muda wa kukumbatiana na mamsap anakuwa sio priority yako kwa wakati huo?
 
Hamna raha kama kuipandia bus bana 🀣🀣🀣

Single tunaEnjoy sana
Nyie kuenjoy mkiwa mbele za watu.. mkirudi ndani mnanuniana
 
Sasa mipapaso ya kuifata Mbauda nayo mipapaso mkuu? Hapo ni kitu nyingine kabisa, trust me..
According to you. Kuna watu mambo ya kubanana na kujambiana muda wote hawataki. Wanona hiyo ndio nzuri kwao.
.changamoto za maisha zipo tu, uwe occupied, single, married...zipo tu. Mnawasimanga sana married couples kwa wanaishi "kishujaa" kumbe singles ndio wanaishi kishujaa zaidi 🀣
Walaa masimango mmeyatafuta wenyeweee kwa kujiliza liza kila uchwao. Kama ulivyosema kuwa walio single wanakufa na tai shingoni basi nanyi kufeni na tai zenu shingoni as long as hamkulazimishwa.
 
Hamna raha kama kuipandia bus bana 🀣🀣🀣

Single tunaEnjoy sana
Nyie kuenjoy mkiwa mbele za watu.. mkirudi ndani mnanuniana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaifuata huku una shauku nayo, hapo moto wake sio wa nchi hii. Huku kuna yule ana shauku nayo na ipo hapo hapo anaiona na ananyimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…