mi siwez oa aise,Hao wote ni wake zako?
Hapa tunamzungumzia mke au mwanamke yoyote yule unayemuokota huko barabarani?
Well.naona upo imara umejipangaMwanamke mzinzi anaachwa, anapewa talaka, hafai kuwa mke wala mama wa watoto. Its simple mbona.
Kumbe unaongelea kitu ambacho huna experience nachoπ.mi siwez oa aise,
Yaani muje mjazane ukumbini mle minyama na kufakamia mibia halafu mnashangilia mimi nikibeba bomu la atomic na kwenda nalo nyumbani ili likanilipukie vizur right?
ndicho unachotaka sio?
sioi ng'ooo mpaka muache izo tabia za mazoea.
harufu ni kali sana aise,Kwa kauli hii it means hujaona kabisa mwanamke wa kukufaa?wote wabaya?
Stahiki ya mwanamke mzinzi ni talaka hakuna kingine, hata wewe utakapoingia huko, ukiwa mzinzi it's either uachwe kwa talaka au hasira kali za mume zikatishe maisha yako.Well.naona upo imara umejipanga
Ndoa mojaYote haya husababishwa na MWANAMKE/WANAWAKE... tulieni nyie kenge!
Hakutakuwa na matatizo kwenye ndoa duniani.
Kwa hiyo jimbo liko wazi sioπMi miaka miwili tu nikakimbia π€£π€£π€£π€£
na expirience na harufu mbaya aiseKumbe unaongelea kitu ambacho huna experience nachoπ.
Usioe.
Unaweza ibuka na pakapori lako uhangaike nalo likikushinda basi unatua mzigo.Ila hawa viumbe hawa daaah.....ngoja niishie tu hapa
Halafuu unaibuka na nini mfano?
Una nyota na vilivyoozana expirience na harufu mbaya aise
Sio kila mwanamke ananukaharufu ni kali sana aise,
naendelea kuchek but sijui na sina hakika kama ntafanikiwa .
ikishindikana bas itabid niinstall Irion dome ili kudhibiti hiyo hali na kuintercept madhara ya mlipuko wa mabomu ya atomic kwenye ndoa.
Ni kweli shida ni bwana harusi ambaye bado hajajitambua na hajielewi. We unamuona yuko sawa na timamu kiakili huyo?! Huoni kama binti kaolewa na Zwazwa?! πππNdoa moja
Siku ya harusi ukumbuni kuna wale wasimamizi pembeni ya bi harausi wale wa kike..bwan harusi kmuomba namba.hii haitoshi katoroka honeymoon kumfata huyu binti na ndo ukawa mwanzo wa ndoa ilojaa vilio.
Hapo shida ni nani?
haya sawaSio kila mwanamke ananuka
Pambana na wako
Hata nyie mna shida sana tu..acheni kulaumu wanawake pekeeUnaweza ibuka na pakapori lako uhangaike nalo likikushinda basi unatua mzigo.Ila hawa viumbe hawa daaah.....ngoja niishie tu hapa
π inawezekana aiseUna nyota na vilivyooza
Usihangaike sana kitunguu swaumu wako mtarajiwa nipo hapa πβΊοΈ,nipo radhi wewe uwe kitunguu maji.Roho ngumu tayari ninayo, bado kujipanga na kumpata kitunguu wangu. Tuwe tunalizana kwa kupokezana
Naona umegeuka sasa baada ya kusema matatizo chanzo kikuu ni wanawake..ukatuita kenge.Ni kweli shida ni bwana harusi ambaye bado hajajitambua na hajielewi. We unamuona yuko sawa na timamu kiakili huyo?! Huoni kama binti kaolewa na Zwazwa?!
Chagueni kwa makini, sio kila mwanaume ni chovyachovya... wachaneni na hawa vijana wa mjini wafuga ndevu na wachora tattoo... majority hawajielewi!
Ila wanawake walioolewa wanachakatwa jaman daaaahhh!Stahiki ya mwanamke mzinzi ni talaka hakuna kingine, hata wewe utakapoingia huko, ukiwa mzinzi it's either uachwe kwa talaka au hasira kali za mume zikatishe maisha yako.