Ndoa zina matukio jamani

Yan bwana wangu afu hajui lini naingia period? Huyo hawezi kuwa bwana angu mimi πŸ˜‚πŸ˜‚

Raha kuifata
Unafika kila kitu ON…

Sasa nyie, mkikasirikiana kdg hampeani? Mara unapewa huku amekasirika?
Mara unamvizia unadumbukiza
Woi
Hivi unajua "makeup sex" ilivyotamu? Weee hapo ukigombana na bf wako mnafanyaje makeup sex, wakati huo mimi nikimkwaza baby wangu natafuta namna ya kusuluhisha then paaap inaishia na kazi heavy🀣🀣
 
Aisee...
 
Nakuwa agent wa TBL 🀣🀣🀣
Bora ulewe tu hivhiv hutoboi unawezapishana na mumeo kariakoo akirudi akasema alikuwa Mbezi kama hujalewa huwez kuelewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna ile unaenda kwa kiongozi wa dini aliewafungisha ndoa awasuluhishe kumbe huyo msuluhishaji ndo mbaya wenu ye na mwenzie wanakuzoom tu

Unaenda kwa dada akusaidie kakae haeleweki anakupa maneno ya kukupoza kumbe ye ndo adui kuwadi wa malaya kwa kakake
Vitu kama hivi vinaweza kupa mawazo ya kuua
 
Siyo kuwadi tu, dunia ya leo, wengi sana huanzia nyumbani na kaka na baba zao.

Nimeshakumbana na kesi hizo.
 
Ndoa ni kitu chema.lakini uwe tayari kusacrifice uhuru wako
 
Ukitaka kuweza ndoa vizuri kabisa

Jifunze forex

Utaifurahia sana ndoa yako
 
Ifike wakati kuchana kwenye ndoa iwe ni tukio maalumu kama kufunga ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…