Ndoa zina matukio jamani

Ukipewa certificate bila kufaulu mitihani kwanza uwe na uhakika huko kwenye hiyo kazi kuna kazi. Ndoa ni kwa ajili ya watu wazima, wenye akili tu sio fashion ya kupendezesha kila mtu.
 
Hamna raha kama kuipandia bus bana 🀣🀣🀣

Single tunaEnjoy sana
Nyie kuenjoy mkiwa mbele za watu.. mkirudi ndani mnanuniana
Hakuna raha yoyote kutafuta papa kwa tochi, yaani utoke huko mara unakuja paaap simba wanacheza, hakuna raha, mnasema tu lakini hakuna rahaaaa
 
Hakuna raha yoyote kutafuta papa kwa tochi, yaani utoke huko mara unakuja paaap simba wanacheza, hakuna raha, mnasema tu lakini hakuna rahaaaa
Yan bwana wangu afu hajui lini naingia period? Huyo hawezi kuwa bwana angu mimi πŸ˜‚πŸ˜‚

Raha kuifata
Unafika kila kitu ON…

Sasa nyie, mkikasirikiana kdg hampeani? Mara unapewa huku amekasirika?
Mara unamvizia unadumbukiza
Woi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…