Ndoa zina changamoto nyingi sana

Kuna wanawake ni moto, kiwanja unanunua mwenyewe nyumba unajenga kwa pesa yako. Unatafta mke unamuoa unaeka ndani baada ya miezi sita unaogopa kurudi nyumbani kisa tu yule kiumbe kipya ulichokioa [emoji23][emoji23][emoji23] yani nyumba ni yako unaogopa kurudi.
 
Ikifikia hali hii ni kheri mke atoe mahari kwenu.
 
Dah hi noma
 
Gubu hili mara nyingi zinahusu mchepuko, hapa mwanaume amekosa majibu ya maswali magumu.

Hilo sipingi kuwa lipo, ila kwa asilimia chache tu, aisee kuna wanawake kila siku hawajui wanataka nini kutoka kwako!. Kila ukijitahd kuwa straight yeye anakuona umepinda, Wanawake!, pamoja na Mitume kupata Wahy kutoka kwa Muumba lakini jibu halikutoka jinsi ya kuwaridhisha wakaishia kutuambia "Ishini nao kwa akili".
 
Sijawahi kuoa na sifikirii kuoa kwa kipindi hichi ila hiii siwez kuirusuhi maishani mwangu furaha yangu na utulivu wa mwili na akili ndo vitu vya muhimu kuliko chochote na nita vilinda kwa gharama yoyote [emoji817]
 
Ni kwa MAFALA tu Mkuu.....mimi namtoa na SHOKA mchana jua linawaka. Hakuna kitu sipendi kama kukoseshwa raha na mwanamke. Basi tu.
 
Mpaka yafike hapo lazima jamaa kafumaniwa aidha kwenye simu au mapicha.....kuna wakati hufika yaani kama mume inabidi uwe mpole. Nina hako kauzoefu, unanyong'onyea mpaka basi.
 
Mpaka yafike hapo lazima jamaa kafumaniwa aidha kwenye simu au mapicha.....kuna wakati hufika yaani kama mume inabidi uwe mpole. Nina hako kauzoefu, unanyong'onyea mpaka basi.
Au imegundulika kuna miamala ya school fees unafanya ya mtoto asiyejulikana, wakati mnadaiwa rent ya miezi mitatu sasa.
 
Ni kwa MAFALA tu Mkuu.....mimi namtoa na SHOKA mchana jua linawaka. Hakuna kitu sipendi kama kukoseshwa raha na mwanamke. Basi tu.
Hahàhah unafukuzia mbali😁😁😁 af wanafanyaga makusudi hivyo vitimbi vyao siku ya kumtimua anaeza lia kama mtoto asijue la kufanya😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…