Unatumia freebasics nnNme reply kabla sijaona picha
Ikifikia hali hii ni kheri mke atoe mahari kwenu.Kuna wanawake ni moto, kiwanja unanunua mwenyewe nyumba unajenga kwa pesa yako. Unatafta mke unamuoa unaeka ndani baada ya miezi sita unaogopa kurudi nyumbani kisa tu yule kiumbe kipya ulichokioayani nyumba ni yako unaogopa kurudi.
Shauku ya kuwa wa kwanza ku replyUnatumia freebasics nn
Kuna wanawake ni moto, kiwanja unanunua mwenyewe nyumba unajenga kwa pesa yako. Unatafta mke unamuoa unaeka ndani baada ya miezi sita unaogopa kurudi nyumbani kisa tu yule kiumbe kipya ulichokioayani nyumba ni yako unaogopa kurudi.
Gubu hili mara nyingi zinahusu mchepuko, hapa mwanaume amekosa majibu ya maswali magumu.
Sijawahi kuoa na sifikirii kuoa kwa kipindi hichi ila hiii siwez kuirusuhi maishani mwangu furaha yangu na utulivu wa mwili na akili ndo vitu vya muhimu kuliko chochote na nita vilinda kwa gharama yoyoteKuna wanawake ni moto, kiwanja unanunua mwenyewe nyumba unajenga kwa pesa yako. Unatafta mke unamuoa unaeka ndani baada ya miezi sita unaogopa kurudi nyumbani kisa tu yule kiumbe kipya ulichokioayani nyumba ni yako unaogopa kurudi.

Hapa ndio wanapokosea wanawake...hivi sasa mwanaume akasema anaenda lala kwa mchepuko wake huko na asirudi utasemaje?
Kwa mwanaume aliye oa hapa hatoki na huyu mwanamke atapika chakula, ataweka maji ya kuoga na mengine yo yote yataendelea tena kwa adabu.Hapa ndio wanapokosea wanawake...hivi sasa mwanaume akasema anaenda lala kwa mchepuko wake huko na asirudi utasemaje?
Ni kwa MAFALA tu Mkuu.....mimi namtoa na SHOKA mchana jua linawaka. Hakuna kitu sipendi kama kukoseshwa raha na mwanamke. Basi tu.Kuna wanawake ni moto, kiwanja unanunua mwenyewe nyumba unajenga kwa pesa yako. Unatafta mke unamuoa unaeka ndani baada ya miezi sita unaogopa kurudi nyumbani kisa tu yule kiumbe kipya ulichokioayani nyumba ni yako unaogopa kurudi.
Au imegundulika kuna miamala ya school fees unafanya ya mtoto asiyejulikana, wakati mnadaiwa rent ya miezi mitatu sasa.Mpaka yafike hapo lazima jamaa kafumaniwa aidha kwenye simu au mapicha.....kuna wakati hufika yaani kama mume inabidi uwe mpole. Nina hako kauzoefu, unanyong'onyea mpaka basi.
Hahàhah unafukuzia mbali😁😁😁 af wanafanyaga makusudi hivyo vitimbi vyao siku ya kumtimua anaeza lia kama mtoto asijue la kufanya😁Ni kwa MAFALA tu Mkuu.....mimi namtoa na SHOKA mchana jua linawaka. Hakuna kitu sipendi kama kukoseshwa raha na mwanamke. Basi tu.