nyumba kubwa dada mkubwa acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huyu kaka simply mkewe ni LIMBUKENI wa maisha.
huo ugomvi ujue anautaka ili aonekane nae yumo, visirani ni kwasababu ana seek attention yako. kimsingi anajijua kabisaaa kwamba yeye ni wa fungu la kukosa ila sasa afanyeje ili aonekane?? lazima atafanya haya.
hujawah kuskia methali 'DEBE TUPU HALIKOSI KUTIKA?" sasa ndio uhalisia wa kinachotokea kwako.
mambo ya
The Boss mwongezee dozi sijui mpe kelebu sio suluhu hata kidogo.
Suluhu ya mwanamke limbukeni ni kumpotezea basiiiiiiii. akisema ndo kwanza unafungua mlango unaondoka. hakuna kumwambia tutoke wala nn. wanao ukitaka kuwafundisha mnaingia chumba unafunga mlango kwa fuguo.
unatakiwa umpotezee awe kama fenicha tu uko ndani kwako.