- Thread starter
- #41
hii sasa ni hatari, maana hapa hapa jf tumeaswa tusioe wanawake wazuri, wasomi kwasababu ni wakorofi, wana kiburi, si waaminifu, hawajitumi 6x6 and so forth. sasa we unatuambia huyo standard 7 naye ni moto wa kuotea mbali. now we are left with no choice. back to your prob jaribu kufanya kinyume cha hayo anayokufanyia probably that will help to fix your prob.
naogopa kumyenyekea na ku-yield kwa kila analotaka ndio ataninyea kbs maana inaelekea ndiyo hamu yake