HoneyBee
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 912
- 864
- Thread starter
- #21
Tena, naona hatujaelewana. Kuvaa uanaume ni nini hasa? Umetoa mifano miiingi ambayo haiendani na tabia yangu. Tumepishana mbaali.
Nimeolewa, wote mimi na mume tuna degree, mimi nina kazi, yeye ana biashara, tuna mtoto mmoja, na nyumba. Ongezea hapo nimemzidi mwaka mmoja, ambayo automatically you will assume simheshimu au sijishushi. The fact is, I respect him and I respect his role as a man and my husband. Sitegemei aje kutupikia huku nimekunja nne, yeye kuingia kupika jikoni , let's say 25% of the time si jambo la ajabu. Akiwa na muda, anapenda kupikia familia yake, ni jambo kujivunia kama mwanamme, kuhudumia familia.
Anapeleka mtoto shule, mimi naenda kumfuata. Sometimes, kazi ni nyingi so anatunza mtoto mpaka ntakaporudi baadae. Chakula napika in advance, sometimes nikirudi nakuta amepika zaidi so we do not have to worry about it for the next few days. I RESPECT him more because he is willing to do what you would see as "kazi za kike". Mimi kuenda kazini ni "kazi za kiume"? He respects what I do, and I respect what he does in and outside the home.
Hebu jiulize ni kwanini jamii zinazoshikilia mila za kizamani/"sheria za mungu" ndizo zinazotesa wanawake na watoto? Kwanini nchi haziendelei, magonjwa kibao, ni uharo tu. Ni jeuri tu, kujiweka juu, as the chosen ones na kukataa kushirikiana na co-pilot wenu, ambae ni mwanamke. Kuwa msaidizi si kitu kibaya. Wewe ni kichwa, mwanamke ni shingo. ukiwa na shingo imara, you can take over the world. But instead, you choose to believe you are better alone.

Wanawake mnapojaribu kuvaa u-anaume matokeo yake ni majanga. Hear me right dear; men will always be on top. Hii ni sheria ya Mungu. Haijalishi umesoma kiasi gani au una fedha na mali kiasi gani. Wanawake hamkuumbwa kuwakalia wanaume. Ninyi ni viumbe wasaidizi kwa mwanaume. Ndoa hazikai kwa kuwa ma-checksister wa siku hizi wengi wao ni much-know. Just because you are educated, you earn a decent income it doesn't mean you can do what you please. Angalia wadada wengi wanaodumu kwenye ndoa.Wengi wao hujishusha. Let me give you a piece of advice; ukitaka uheshimiwe na mwanaume, respect and pamper his ego.
Ukileta mashindano utaishia kuvunja ndoa yako na kuumia bure. Jamii haimuheshimu mwanamke aliyeachika kwa uzinzi au kiburi. Sio kwamba baba zetu walikuwa malaika, la hasha, ila mama zetu walikuwa na busara (not to say hawakufanya yao). Sasa nyie unagombana na mumeo kidogo ushapost status facebook "I'm done!!!I hate him!" he he he he unategemea utatunza ndoa hapo. Kutwa you are on social media flirting with other dudes and you expect your hubby to just "give you space" ha ha ha. Acheni u-magharibi wa kwenye soap za kifilipino. You end up ruining your lives, become bitter and worse yet psychologically *** up your kids.