ndoa za watu zinavunjika sana tegeta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ndoa za watu zinavunjika sana tegeta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Dec 27, 2010.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  utafiti uliofanywa ndoa za watu zinavunjika sana na hata wafanyakzi wengine kupoteza pesa zao kwa utapeli uliyojitokeza tegeta kwa ndevu stand kuna kamali inayochezwa kwa mfumo wa kuwaibia wakina mama na watu wenye upeo mdogo wa kutafakari kuwa inawezekana vipi pikipiki kuinunua kwa shilingi 200? Au music system kuinunua kwa sh 500 huo mchezo uchezeshwa pale tegeta stand na wale watu wanakuwa na watu wao wenye pesa walio waandaa vyema wakicheza wao ufanikiwa kushinda bahati na sibu hiyo lakini akicheza mwingine ambaye siye wao huyo huliwa pesa zake hasa wakina mama wanaokwenda sokoni kujipatia mahitaji yao ya kila siku na ikitokea amerudi nyumbani bila mboga baba ianzishha balaa lingine kwa kuvunja uhusiano kwa hiyo tunaiomba serikali kulichunguza hili au wahusika kutusaidia kuwaondoa matapeli pale tegeta
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Mjini shule
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Bure ghali!! acha waachwe wapate akili.
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,973
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Sasa hiyo ni kamali,sheria za tanganyika zipo wazi,hapo akuna polisi kata? Akuna diwani? Akuna police post?Ok at this time nipo kwenye party ya JF Arusha.ningekupa dawa ya hao wachezeshaji kamari.tuwasiliane kesho
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sawa chipukizi police wapo lakini wamekuwa wanakula na wachezesha kamali hao wakikamatwa na kupelekwa police mkiondoka nao wanatolewa na kuendelea na kazi zao hakika inakera sana
   
 6. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  duu huu utapeli umetuliaa ila wakiangaliwa siku nzima mienendo wanaweza kamwatwa
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  watunza sheria hawawezi kukusaidia bcoz wanapata mgao, dawa ni wananchi wananchi kukusanyika na kuwachoma moto hawa waizi.
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kwani mnaoishi mitaa hiyo wote....? Watu wanachafua mtaa mnacheka nao?
   
Loading...