Ndoa za watoto zaruhusiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa za watoto zaruhusiwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by mopaozi, Dec 16, 2011.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nchi ya NIGERIA imeruhusu ndoa za watoto kuwaoa watu wazima hebu jiachieni kwa picha hizi huyu c ni yule mtoto anayechezaga picha za Aki na Ukwa sasa eti kaoa bonge la jimama!!

  osita.jpg osita2.jpg osita2.jpg
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wewe huyo si mtoto ni mfupi tu,,mmmnh una yako....
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  He is a Nigerian actor born 12 December 1977 in Bende, Abia State, Nigeria, His real name is Chinedu Ikedieze.
  [​IMG]
   
 4. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaah Mopao bana una nini?
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hee makubwa'kazaliwa mwaka 1977?
  du huu kali that means mkubwa kuliko mm
  sidhani kama naniliu yake itananiliu kwa vile ni kama ya mtoto wa darasa la 4.
   
 6. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sio mtoto ni kibabu cha haja,ni umbo tu!
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kule nanii kunaweza kuwa mzigo mkubwa wa kumtosha bibie bila shida.
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mbona hata Tanzania zinaruhusiwa?
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Haonekani kama mtoto..
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
 11. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  size ya huyu bwana arusi sijui inaweza kufika kule kunakao au itaishia juu juu tu kwa bibi arusi...
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ndo tatizo la rugby..
  mtu akichemsha kwenye RWC ana retire.
  Hata coach na captain wa RSA na wao wame retire..
  Anyway miaka 32 si mbaya . Na tayari Heshima zote la
  RWC 2003 ni zake.. akapumzike tu..
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  In football we never retire until we are 40
   
 14. misnomer

  misnomer Senior Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huyo ni kijeba baby face. Mwanamuziki Paula Abdul alishawahi kutoa album ya Opposites attract kwa maana ya kwamba wafupi huvutiwa na warefu, wanene kwa wembamba, etc, and vice versa.
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Well ,
  Rugby is tough & rough than soccer
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  duuh kulingana na makuzi kama huyu jamaa ndo amefikia mwisho wa kukua pale atakuwa na kipenseli si mnawaona watoto wetu wa ukubwa ule saa sijui itakuwaje ataelea tuu jujuu au atafute strapons awe anavaa kumburudisha bibie na aki pizi awe ana kinga nje na kumiminia ndani!!!!1
   
 17. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyo si mtoto ni mtu mzima huyo sema tu ni emolo hata hivyo amechelewa sana kuoa
   
 18. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  du! sijui kny sita kwa sita itakuwaje mbona hana mzigo?
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hii kali..si angetafuta mfupi mwenzake jamani?
   
 20. Babamu

  Babamu Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mopaozi, huyo sio mtoto kwani kwa komenti za wengine kumbe ana umri kama wangu.

  Kwani hata wengine hutokea mashine zao zikawa ndogo il-halli wao ukiwaona mijibaba ya miraba mine, na kinyume chake wengine unaweza ukasema nikikohoa si kitatoka kumbe nenda uone kilichomtoa kanga manyoya katika ................................ kwa habari yake.
   
Loading...