Hapo umetia pointMie nadhan heshima ktk ndoa inategemea malezi na makuzi, habari ya shule kumbuka nalo ni jambo jingine. Kwa imani yangu mie, mume ni kichwa lakn iwapo mke ameenda shule LIMBUKENI ni kweli heshima hupungua hususani baada ya kuwa na wigo mpana wa watu anaokutana nao ktk majukumu ya kila siku. Hivyo, shule yao au pesa yake humpa jeuri na kuona mume wa kazi gani? Hili halina ubishi kwa asiye na malezi au maadili mema ya kidini. Ndiyo maana wengi wao huishi peke yao au kuishia kuishi na waume wasio na shule kama yao, na hapo ndio vijana wanaopenda pesa au kuendesha magari burebure hupatia michongo.
Yep, nina 16 yrs tangu nifunge ndoa.Umeoa?
U nataka kugombea jimboWewe una hizo sifa, nitangaze nia chapchap???[emoji23]
ndio ndio au nimeshawahiwa?U nataka kugombea jimbo
Ahsante kwako.Hapo umetia point
Hebu rudia kusoma ulichokiandika vipi umeelewa ulimaanisha nini?Wana wake wasomi mm lasaba aposasa kwenye ngeli rugha gongana mambo ya fedhea hayo
kabisa, na mimi pia napenda mwanaume aliyesoma, mwanaume/mwanamke asiye na shule hata siri hana yaani akidet na mtu lazima marafiki zake wote wajue.Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
Ha ha! yaani nimekupenda bure, hata mimi nahisi hivyo hivyo, mwanamke vidato bwana.Me huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
Sidhan maana mgombea upo peke yako[emoji4]ndio ndio au nimeshawahiwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Apia!!!
Hakuna mwanaume anaemuonea mwanamke mtii,mpole na mnyenyekevu kwake.Siikani post yangu... Naelewa nilichokiandika ndo maana nikakataa unachosema!!! Nafahamu kua mwanamke na mwanaume hawawezi kua na usawa wanaosema watu. Sema wanaume wanaogopa wadada wasomi sababu ni ngumu kuwapelekesha na kuwaonea
Kwa mujibu wa vigezo vya kimataifa Msomi ni mtu mwenye elimu ya Shahada ya kwanza (Bachelor's degree) na kuendelea.Msomi maana yake nn? Tuanzie hapo labda
exceptions huwa zinakuwepo, ila realy hard working women kwenye masiala ya kazi nyingine huwa wana end upa being bad mums
huwa nampenda mama mmoja ni mkurungenzii mtendaji wa Pepsi Co. USA
yule anajisemeaga ukweli kuwa she is a bad wife na bad mom, lakin ana shukuru familia yake ina mvumilia.
ila kwa kweli mimi sina huo uvumilivi kabsaa
Nakupendaga sana kwa sababu umezidi kujitambua.Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.