Ndoa za wasomi

umeongea vema...wengi vimeo...
 
You seem to be among of them, nimekupenda bureeee
 
Mwanamke ajielewe, mwanaume ajielewe. BASI. mengine mbwembwe tu
 
Hongera mku, ila nachelea kusema kwamba mkeo ndio wale ambao waliolewa kwa bahati hasa kutokana labda na umri kusonga, sura na umbo lake vikawa si vya kuvutia sana. Hapo utanisamehe maana mpaka mwanamke msomi akubali kuolewa na asie msomi ujue aliku desperate sana
 
Hapana nmemkata nyuzi akiwa mwaka wa kwanza 2006,na nmemuoa mwaka 2012 akiwa na 26 na sasa mm nina 37 nae 31 sasa sijui umri upi unaosema mkuu,,nmeoa kufuata taratibu zote zinazotakiwa,kilichonifanya nimuoe nilijijloza kama yupo chuo mwaka wa kwanza na bikra yake sasa ni mwanamke gan mwngine nimtafute zaid ya huyu,,bas mungu akafanya wepes,,darasa la nne langu sijawah kulidhadau ila nmefanikiwa kupata kila nachokihitaji maishan,,sijawah kukwama kutokana na elimu yngu,sijawah kujutia kutokusoma maana sina nachokosa na ndio maana niliamua kumlipia mastars akasome china miaka mitatu bila hofu,,,,mm ndio dereva na yy ndiye msaidiz wngu,maana mm mjanja kuliko yeye,mtundu wa lugha za watu kuliko yy,nimeish nje kulko yy,nmefanikiwa kabla hata ya kumwoa yy so cjajua kipimo gan ulipimia kuamini unachokiamini.. Na ndio maaana sidanganyag elimu yangu ppte,,,
 
Halafu mwsho nimalizie ni mzur kichizi.. Kuanzia kizaz cha miaka ya 86-1995 watto wa kike wanaosomea udaktar kwanza ni smart kuanzia kichwan mpka sura na umbo mubashara
 
Hehe, asee, mtu kusikia 'utoto' akajihisi.
Nashukuru umelisema hilo la kupiga wanawake kuwa ni inferiority complex. Kupiga mwanamke ni uboya usio kipimo.
Hahaha !!! Utapigwa tu (In Pinda's voice)
 
Hongera sana mkuu, sorry pia kama umekwazika kwa namna yoyote. Ni wanawake wachache sana wasomi wanaojielewa.

Ila nimegundua kitu kimoja, umeweza kumcontrol kwa sababu una mafanikio hasa ya kipato kuliko yeye.


Btw La nne hoyeee (In Msukuma's voice)
 
Halafu mwsho nimalizie ni mzur kichizi.. Kuanzia kizaz cha miaka ya 86-1995 watto wa kike wanaosomea udaktar kwanza ni smart kuanzia kichwan mpka sura na umbo mubashara
Hahaha mkuu.....kila la kheri
 
Hapo safi,mm mwenyew lazima nioe dada somi bana.hawa wengine watanipa shida kuelewana nao ndani
 
Yah,hizi situation zinatokea sana,hasa dada umri ukiwa umesonga.
 
Baadhi ya wanaume wanatumia nafasi ya 'kichwa cha familia ' vibaya kuumiza familia na mke...kwa mema swaa,ila hata mke inabd uangalie lipi jema kwako na kwa familia huwezi kuwa mtu wa ndio kwa kila asemalo mume,yeye pia binadamu
 
Mama yangu ni form 4 leaver baba ana degree mbili, ni wazazi wazuri sana ila ndoa yao wawili is a living hell to each other,kila mtu amuona mwenzie mbaya..tafrani na malalamiko kila uchao
Naamini Ndoa ni maelewano sio elimu, haijalishi mpo vipi kielimu, cha msingi ni nyie wawili kupendana na kuelewana..
 
Mda mwingine mtalaumu wanawake bure mweh,watu wengine hawana nyota ya biashara ama kazi aliyonayo inamlipa zaidi kuliko biashara unayopendekeza ama background aliyotoka ameona biashara zikifeli so salama kwake ni kazi nk nk
Ni changamoto sana,mana kila mtu kakulia kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…