Ndoa za wake wengi katika ukristo

Kwani Mungu alitoa mbavu ngapi kwa Adamu? Si alitoa ubavu mmoja tu, yaani Eva? Sasa kama unaamini ubavu wako ulitawanywa kwa akina "Eva" wanne basi oa wake wanne.
 
Sidhani kama Biblia ndio inapaswa kutafsiri hivyo. Yaani kwa sababu fulani alifanya vile, basi na wakristo wafanye hivyo!!.
Sio kila kitu kilichofanywa na watu maarufu kwenye biblia basi wakristo wakopi na kupaste hicho kitu hivyo hivyo kilivyo.

Kwa mfano..
-Yesu aliishi na hakuoa kabisa. Je wakristo wasioe?
-Mfalme Sulemani alikuwa na Wake zaidi ya mia Tisa. Je wakristo wafanye hivyo?
-Maria alipata mimba ya Yesu pasipo kufanya mapenzi, Je wakristo waige hivyo?
 
Kuna mambo dini zimejichomeka tu ili kuwapa wanadamu utaratibu wakuishi kwa jinsi kila aliyeanzisha iyo dini aliona inafaa.ndo maana kila dini ina utaratibu wake.Kilichoumbwa na Mungu ni kuzaana wala sio ndoa,na ilo jukumu lakuzalisha alipewa mwanaume ndo mana mwanaume aliumbwa kwa namna yakumfanya azalishe wanawake kwa kadri ya anavyoweza ndo maana anatengeneza mbegu kila siku na hana MP na aliumbwa na tamaa dhidi ya mwanamke.Hadi hapo unapata picha kua aliyesema mke moja mume moja kapotosha kusudi la uumbaji.Kwaiyo mafundisho ya dini yasikupofue ukashindwa kujua nature ikoje,kwasababu yako makanisa leo yanahubiri swala la ndoa ya jinsia moja iyo maana yake ni kwamba itakapofika mwaka 3000 kutakua na mabadiliko makubwa kwenye sheria za ndoa lakini kusudi la uumbaji lazima liwepo.ndoa ililetwa kama hati miliki ya mwanaume kummiliki mwanamke ili kusiwe na mapigano ya wanaume kwa wanaume kugombea wanawake kama ambavyo wanyama wengine wanafanya.nasisi binadamu hatuko tofauti na hao wanyama kwenye swala la nguvu kujamiiana.
 
Kwani Mungu alitoa mbavu ngapi kwa Adamu? Si alitoa ubavu mmoja tu, yaani Eva? Sasa kama unaamini ubavu wako ulitawanywa kwa akina "Eva" wanne basi oa wake wanne.

Ukisoma vizuri Biblia Mwanzo . Tafuta mwenyewe sikutafunii ' hapo Mwanzo Mungu aliumba mtu mume NA mke . Ukiendelea mbele utaona Mungu alimtoa Adam na upweke akampa usingizi mzito kisha akamtoa ubavu akapatikana mke . Na Adam alipomwona akafurahi akasema huyu ndio mke hasa katokana na ubavu wangu . Yule wa mwanzo alienda wapi ?
 
Tofautisha kuoa wanawake wengi na kuzaa na wanawake wengi, Jacob yeye alio wanawake wawili japo na hili lilitokana na kuwa baba mkwe alimchomekea akidai kwa mila zao mdogo hawezi olewa mpaka aliyemtangulia aolewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha kuoa wanawake wengi na kuzaa na wanawake wengi, Jacob yeye alio wanawake wawili japo na hili lilitokana na kuwa baba mkwe alimchomekea akidai kwa mila zao mdogo hawezi olewa mpaka aliyemtangulia aolewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pia alizaa na wasaidizi wa wawili wa HAO wake zake,HII imekaaje???
 
Duuuu!!!! Noma sana ngoja na Mimi nikafanye uchunguzi afu ntarud
 
Niambie biblia inasemaje kuhusu ndoa????
 
Adamu alipewa wake wangapi? Ibrahimu alioa wake wangapi? Ukijibu hayo maswali utajua Mungu alikusudia nini juu ya ndoa.

Ni makosa kuchukulia kuwa kila kilichofanywa na watu maarufu kwenye Biblia basi ni ruhusa kutenda.

vv
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…