Ndoa za sasa ni zaidi ya """comedy"""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Mmh sijui ni mapepo sijui laana sijui nasema sijui
jamani hizi ndoa mbona sasa zinachekesha naona watu wanaoana na kuachana kama karanga hivi nani kakutuma uende kuoa??umelazimishwa kuolewa kwa nini ukamaribie mwenzio maisha yake...ama unataka kuingia kwenye guiness book nasema acha kama auko tayari na ndoa usiikimbilie mungu anamakusudi kukaa mpoaka sasa kuna mwenzio anakusbiri kwa wakti muafaka...usilazimishe ndoa ukamuangamiza maisha mwenzio
hakika laana ya dunia aitakuacha nasema wewe unaemcehzea mwenzio ovyo tena mkome wana jinsia hiii
nawatakia chaguop jema
 
dah umenena
god bless u
yaani awa wachezeaji waache kabisa mambo izi za kuchezeana wanatuogopesha wwenzao kutaka ndoa

yaani mhhh for real m doubtng kuolewa thou i wanna kids just bcz of those dirty game men playing.......hongereni mliopata wanaume wenye uume wa kichwani uliojaa busara na hekima!!!!!!!!!1:embarrassed1:
 
Back
Top Bottom