Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,859
Ndoa za mitala zipo kisheria na mwanamke huwa anaamua mwenyewe kuolewa mke wa pili sio kwamba analazimishwa....na ndoa za mitala zinamsaidia mwanamke kutokana na kuwa na changamoto nyingi za kibinaadamu na kimaumbile mfano Utasa/ugumba, matatizo ya uke na maradhi ya muda mrefu. Mwanaume yeye anapopata tatizo ya kushindwa kumuhudumia mwanamke kimaumbile inabidi amuache